TikTok inagaragaza YouTube iliyokuwa ikisumbua kwa miaka mingi

Tatizo watu wenye maarifa makubwa hawako Tik-Tok. Ushawahi kuona mjadala gani wa, watu wa maana una link ya TikTok?

Ni suala la mda tu .Tiktok is still growing na kwa walivyo creative wataipiku youtube.

Asia (china ,japan ,korea) kuna watu ambao wako very creative kwa sasa western (europe ,USA) wanahangaika sana kukabili ubunifu na ushindani wa hawa watu katika kila sekta.

Time will tell.

Ngoja tuone.
 
TikTok inapanda sana chat soon YouTube anakuwa mkia
 
TikTok imekuja kummaliza kabisa YouTube aliyekuwa akisumbua kwa miaka mingi. YouTube hana mvuto kwasasa kila simu ya kijana anayefahamu nini maana ya utandawazi basi ana App ya TikTok kwenye simu yake.

Wengi wanajitahidi ku Uninstall App ya YouTube ila bahati mbaya inakuja Pre Installed kwenye simu za Android isingekuwa hivyo basi YouTube ingeshafutwa kwenye simu za vijana wengi.

YouTube ni mbovu kwenye impression haiwezi kusukuma video za Creators kwa watazamaji automatically mpaka promotion itumike wakati TikTok inapeleka content mbele ya watazamaji automatically ilimradi uwe na content nzuri.

TikTok kusumbuliwa Marekani kwamba itazuiwa hiyo ni njama ya YouTube kutaka kumng'oa kwasababu ya yeye kupoteza mvuto sokoni hapendwi tena.

Natabiri kifo cha YouTube kwa siku zijazo hilo halina ubishi TikTok akitaka kummaliza kabisa YouTube aruhusu Video za mpaka lisaa limoja au zaidi pia aboreshe mfumo wa malipo makubwa kwa Creators hapo YouTube atakufa kabisa.
Twitter naye yupo kwenye mpango wa kummaliza YouTube kwa kuruhusu Video ndefu.
Yaani kwa kuwa mnapenda kuangalia matako huko Tiktok ndiyo mnaanza kutabiri kifo cha Youtube mkijua wote ni watazamaji wa makalio na vikaragosi?
Sahau habari za kifo cha Youtube, Tiktok ni upepo utakaoenda kutulia very soon.
Youtube ni all weather na ina contents makini.
Tiktokers wote waangalie tu upeo na muonekano wao, majority ni Sanguiners
 
Yaani kwa kuwa mnapenda kuangalia matako huko Tiktok ndiyo mnaanza kutabiri kifo cha Youtube mkijua wote ni watazamaji wa makalio na vikaragosi?
Sahau habari za kifo cha Youtube, Tiktok ni upepo utakaenda kutulea very soon.
Youtube ni all weather na ina contents makini.
Tiktokers wote waangalie tu upeo na muonekano wao, majority ni Sanguiners
Watu wanapenda kalio kuliko kujifunza YouTube ndo mana YouTube inainamishwa na TikTok
 
Mtu ni mfanyabiashara kauza 5M asubuhi mpaka jioni, usiku anaingia TikTok anaburudika wewe unamwona fala hapo umepotea baba, wengi sana wanaotumia TikTok ni watu na kazi zao kwa siku wanauza mpaka 20M kwahiyo anapoingia TikTok unadhan boya labda. Usikariri watu, hata huyo aliyeandika kula uzi kimasihara unaezakuta ni mmiliki wa Hotel kubwa ila ukamchukulia poa anavyoburudisha watu.
Upo nje ya hoja. Hapa tunalinganisha kati ya Youtube na TikTok na siyo unahela sijui umeingia Tiktok. Tunaangalia kati ya Youtube na TikTok upi ni mtandao bora kuliko mwingine na siyo hela zako. Kufeli mtihani ni rahisi sana.
N.B
Kuna watu hawana cha kujifunza mtandaoni, yeye akiwa na bando anaangalia vichekesho, muvi na picha za ajabu ajabu. Watu hawa ndiyo utawakuta TikTok. Tiktok nilipakua, ikabidi niifute muda huo huo na siwezi kutumia mpaka kesho kutwa.
Mtu anatumia internet lakini hakuna ujuzi wowote aliojifunza. Sasa watu hawa ndiyo wapo TikTok halafu ni wengi, wanaangalia mwanamke anacheza nyimbo, yupo na kichupi tu.
YouTube ni habari nyingine. Ukikaa na Youtube vizuri, unapata degree kabisa hata masters. Mpaka sasa kuna mambo mengi nilikuwa siyajui ila shukrani kwa Youtube. Nimepata ujuzi na pia natengeneza hela
TikTok ni kwaajili ya kupoteza muda na kuweka status za whatsApp tu.
 
TikTok inapanda sana chat soon YouTube anakuwa mkia
Huu mdahalo ungeweka hadharani katika makundi mawili ungeweza kutambua mambo haya
1. Watu wanaotumia TikTok, ni jamii ya watu ambao wakiwa mtandaoni ni kuangalia vichekesho, picha na muvi. Anajipiga picha anajipost mtandaoni, yupo instagram. Hakuna la maana analojifunza zaidi ya kujiburudisha halafu hawajui mambo mengi kuhusu technology. Wapo mtandaoni kujiburudisha tu. Kundi hili ni watu wengi sana na TikTok imeundwa kwa ajili hili. Hata wewe mtoa uzi ni wale watu ambao hawana la kujifunza mtandaoni ni sawa na wale watu wanaoangalia porno mtandaoni.
2. YouTube
Ni kundi la watu wanaopenda kujifunza kuhusu mambo mbalimbali kuhusu Tech na mambo yanayowazunguka. Hawa ni wale kundi la how to make money online na mtaani.
Ni kundi la watu ambao wako youtube kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali. Kuwa na YouTube channel na kuiendesha siyo kazi rahisi na inakutaka uwe mbunifu hasa na uwe na kazi zako orijino.
N.B
TikTok watumiaji wake ni wale ambao hawana kitu chochote cha kujifunza mtandaoni. Ingia TikTok halafu tafuta video inayoelezea jinsi ya kutengeneza website ndiyo utajua TikTok ni ya wapaka poda. Video nyingi ni zile ambazo huwezi kupata ujuzi wowote.
 
Hawa watu wanafikiri wanaotumia TikTok ni masikini
 
Watumiaji wa YouTube wanaingia TikTok kuangalia tako
 
Sijawai kua na account tiktok, nimekuja kujua inahusu nini baada ya status nyingi whatsapp kua zinatoka huko tiktok

Sio mtandao wangu kabisa aisee
Ukitaka kuwa masikini wa MB tumia tiktok, ina kula GB sana. Na ukizoea noma
 
Back
Top Bottom