TikTok wanaongelea maandamano halafu wamekaa kwenye live kusubiri wengine waaandamane

TikTok wanaongelea maandamano halafu wamekaa kwenye live kusubiri wengine waaandamane

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Kuna live ya tiktok inaendeshwa watu wote mule anaeongea kazi kulaumu wenzie kisa hawajaikanzisha huku yeye mda huo hajafanya kitu kakaa ndani sijui anasubiri nani akinukishe wazee Kwa staili hiyo acheni kujadili maandamano jadilini uasi huenda mkafanikiwa Kwa asilimia 100% watanzania Sasa hivi hawawezi kujaribu ujinga wa tarehe 29 kufa halafu hamna kinachobadilika
 
Back
Top Bottom