Sa juzi usiku wkt natafuta mchuzi wa kula na daqu, dada Si ungefanya maarifa!Tilapia ni samaki wa maji baridi, Samaki huyu ana minofu na nyama nyingi hasa akiachwa awe mkubwa.
1. Tilapia anaweza kubanikwa akaliwa na salad tu hasa kwa wale watu wa diet
2. Anaweza kuchemshwa supu kule kwetu tunaweka ndizi malindi ndani ya supu lakini sikuhizi tunalima matoke pia.
3. Tilapia akipikwa kwenye mchuzi wa nazi ule na wali au ugali khee acha tu.
Ijumaa njema.
Tilapia ni samaki wa maji baridi, Samaki huyu ana minofu na nyama nyingi hasa akiachwa awe mkubwa.

Na mimi ni tilapia, ukinipata umepata utamu wa pekeeTilapia ni samaki wa maji baridi, Samaki huyu ana minofu na nyama nyingi hasa akiachwa awe mkubwa.
1. Tilapia anaweza kubanikwa akaliwa na salad tu hasa kwa wale watu wa diet
2. Anaweza kuchemshwa supu kule kwetu tunaweka ndizi malindi ndani ya supu lakini sikuhizi tunalima matoke pia.
3. Tilapia akipikwa kwenye mchuzi wa nazi ule na wali au ugali khee acha tu.
Ijumaa njema.
Babu unataka kuroga mjukuu?Naona anataka kurogwa huyo...
Asprin huyu ni tasi sio sato
Tilapia ni samaki wa maji baridi, Samaki huyu ana minofu na nyama nyingi hasa akiachwa awe mkubwa.
1. Tilapia anaweza kubanikwa akaliwa na salad tu hasa kwa wale watu wa diet
2. Anaweza kuchemshwa supu kule kwetu tunaweka ndizi malindi ndani ya supu lakini sikuhizi tunalima matoke pia.
3. Tilapia akipikwa kwenye mchuzi wa nazi ule na wali au ugali khee acha tu.
Ijumaa njema.
Mlete Mlimani city leo kuanzia saa 8 Mchana.................Tilapia ni samaki wa maji baridi, Samaki huyu ana minofu na nyama nyingi hasa akiachwa awe mkubwa.
1. Tilapia anaweza kubanikwa akaliwa na salad tu hasa kwa wale watu wa diet
2. Anaweza kuchemshwa supu kule kwetu tunaweka ndizi malindi ndani ya supu lakini sikuhizi tunalima matoke pia.
3. Tilapia akipikwa kwenye mchuzi wa nazi ule na wali au ugali khee acha tu.
Ijumaa njema.
Babu analeta wivu kwa mjukuu wakati mjukuu mchumba ake ni bibiBabu unataka kuroga mjukuu?
Si ndio mimi nashangaa Babu anataka kuniroga kisa mchumba wangu BibiBabu analeta wivu kwa mjukuu wakati mjukuu mchumba ake ni bibi
Vumilia. Kiu yako ya kuwa Na Mungu iwe kubwa kuliko kiu yako kwa vyakula, hiyo ndio funga. Kufunga sio kushinda kwa njaa. Meditate ukubwa wa Mungu wako, ongea naye, msifu, mtukuze ndipo utaweza kushinda hamu ya chakula Na utatamani kufunga usiku na mchana Bila kula Wala kunywa chochote.Dah, hebu ngoja nitoke humu ndani napata ushawishi kiasi.
Ahsante.
Asprin huyu ni tasi sio sato
Vumilia. Kiu yako ya kuwa Na Mungu iwe kubwa kuliko kiu yako kwa vyakula, hiyo ndio funga. Kufunga sio kushinda kwa njaa. Meditate ukubwa wa Mungu wako, ongea naye, msifu, mtukuze ndipo utaweza kushinda hamu ya chakula Na utatamani kufunga usiku na mchana Bila kula Wala kunywa chochote.