Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Tilapia ni samaki wa maji baridi, Samaki huyu ana minofu na nyama nyingi hasa akiachwa awe mkubwa.
1. Tilapia anaweza kubanikwa akaliwa na salad tu hasa kwa wale watu wa diet
2. Anaweza kuchemshwa supu kule kwetu tunaweka ndizi malindi ndani ya supu lakini sikuhizi tunalima matoke pia.
3. Tilapia akipikwa kwenye mchuzi wa nazi ulie na wali au ugali khee acha tu.
Ijumaa njema.