Tilapia/Sato

Tilapia/Sato

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Tilapia ni samaki wa maji baridi, Samaki huyu ana minofu na nyama nyingi hasa akiachwa awe mkubwa.
1. Tilapia anaweza kubanikwa akaliwa na salad tu hasa kwa wale watu wa diet

2. Anaweza kuchemshwa supu kule kwetu tunaweka ndizi malindi ndani ya supu lakini sikuhizi tunalima matoke pia.

3. Tilapia akipikwa kwenye mchuzi wa nazi ulie na wali au ugali khee acha tu.

Ijumaa njema.
 
Tilapia ni samaki wa maji baridi, Samaki huyu ana minofu na nyama nyingi hasa akiachwa awe mkubwa.
1. Tilapia anaweza kubanikwa akaliwa na salad tu hasa kwa wale watu wa diet

2. Anaweza kuchemshwa supu kule kwetu tunaweka ndizi malindi ndani ya supu lakini sikuhizi tunalima matoke pia.

3. Tilapia akipikwa kwenye mchuzi wa nazi ule na wali au ugali khee acha tu.

Ijumaa njema.
Sa juzi usiku wkt natafuta mchuzi wa kula na daqu, dada Si ungefanya maarifa!
 
Tilapia ni samaki wa maji baridi, Samaki huyu ana minofu na nyama nyingi hasa akiachwa awe mkubwa.
1. Tilapia anaweza kubanikwa akaliwa na salad tu hasa kwa wale watu wa diet

2. Anaweza kuchemshwa supu kule kwetu tunaweka ndizi malindi ndani ya supu lakini sikuhizi tunalima matoke pia.

3. Tilapia akipikwa kwenye mchuzi wa nazi ule na wali au ugali khee acha tu.

Ijumaa njema.
5578426-573x464.jpg
 
Na mimi ni tilapia, ukinipata umepata utamu wa pekee
 
Tilapia ni samaki wa maji baridi, Samaki huyu ana minofu na nyama nyingi hasa akiachwa awe mkubwa.
1. Tilapia anaweza kubanikwa akaliwa na salad tu hasa kwa wale watu wa diet

2. Anaweza kuchemshwa supu kule kwetu tunaweka ndizi malindi ndani ya supu lakini sikuhizi tunalima matoke pia.

3. Tilapia akipikwa kwenye mchuzi wa nazi ule na wali au ugali khee acha tu.

Ijumaa njema.

Mkuu, ungesubiri tumalize huu mwezi ndio ulete hivi vitu bado siku chache tu coz hivi vitu vinatia ushawishi mkubwa aisee. Dah.

Basi sawa, asante kwa ukumbusho nime-save kwa matumizi ya baadae.

Ahsante.
 
4.Tilapia ni rahisi kufugwa pia ana a.k.a ya St. peters.
5.Ana taste na aroma nzuri.
6.Ana Omega 3 fat/oil kwa ubora wa afya ya ubongo.
7.Ni white meat.

Tambua kusafirisha mazao ya samaki bila kibali ni hatari kwa maendeleo yako.
 
Tilapia ni samaki wa maji baridi, Samaki huyu ana minofu na nyama nyingi hasa akiachwa awe mkubwa.
1. Tilapia anaweza kubanikwa akaliwa na salad tu hasa kwa wale watu wa diet

2. Anaweza kuchemshwa supu kule kwetu tunaweka ndizi malindi ndani ya supu lakini sikuhizi tunalima matoke pia.

3. Tilapia akipikwa kwenye mchuzi wa nazi ule na wali au ugali khee acha tu.

Ijumaa njema.
Mlete Mlimani city leo kuanzia saa 8 Mchana.................
 
Dah, hebu ngoja nitoke humu ndani napata ushawishi kiasi.

Ahsante.
Vumilia. Kiu yako ya kuwa Na Mungu iwe kubwa kuliko kiu yako kwa vyakula, hiyo ndio funga. Kufunga sio kushinda kwa njaa. Meditate ukubwa wa Mungu wako, ongea naye, msifu, mtukuze ndipo utaweza kushinda hamu ya chakula Na utatamani kufunga usiku na mchana Bila kula Wala kunywa chochote.
 
Hakika mkuu.

Thanks kwa ushauri aseee.
 
Back
Top Bottom