Tiles zimepanda bei

15000? Bei ya zamani hiyoo
Mwanzoni nilienda nilikuta wanauza 15,000 kwa box la 40x40 huku mkoani ila nimeenda jana nimekuta 21,000 kwa box NIMEUMIA SANA YAANI.
 
Maru maru za india wanazo hata za muonekano huu
 
Weka picha mkuu unaweza nishawishi angalau.
40*40 ya india [emoji1128] sqm 0.9 ni Tsh 21000 na ni nzuir kama za Spanish, zipo design mbali mbali na nzuri hatari
 
Mwanzoni nilienda nilikuta wanauza 15,000 kwa box la 40x40 huku mkoani ila nimeenda jana nimekuta 21,000 kwa box NIMEUMIA SANA YAANI.
40x40 sh 15000?? Mkoa gani huo? Kuna uongo hapa mtakatifu
 
Wenye majumba Kama munataka kwenda nayo peponi hii inawahusu sisi wa vibanda vya nyasi na cement yetu ya viroba tunadunda Tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ewe mwananchi lipa kodi kwa maendeleo ya watawala wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…