IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
25,000
Waulizie tena kwa sasa 40x40 ni sh ngapi usikie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulizie tena kwa sasa 40x40 ni sh ngapi usikie.
Mwanzoni nilienda nilikuta wanauza 15,000 kwa box la 40x40 huku mkoani ila nimeenda jana nimekuta 21,000 kwa box NIMEUMIA SANA YAANI.
40*40 ya india [emoji1128] sqm 0.9 ni Tsh 21000 na ni nzuir kama za Spanish, zipo design mbali mbali na nzuri hatariBei ya hizi za India mkuu
Hii ni 20*120Maru maru za india wanazo hata za muonekano huuView attachment 1088840
Maru maru za india wanazo hata za muonekano huuView attachment 1088840
Tupo dunia nyingine mzee baba...Baba hizi si mbao kabisa mzee au?
40x40 sh 15000?? Mkoa gani huo? Kuna uongo hapa mtakatifuMwanzoni nilienda nilikuta wanauza 15,000 kwa box la 40x40 huku mkoani ila nimeenda jana nimekuta 21,000 kwa box NIMEUMIA SANA YAANI.
Vipi pale lumumba pana kiwanda cha Rushwa na Ufisadi?Chadema badala ya kujenga viwanda wameatamia ngada tu ,unategemea nini?