Tilisho na Wafanyabiashara wote, waungeni Mkono CHADEMA mfanye biashara kwa uhuru

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
CCM na Serikali yake washakata pumzi. Wana CCM wanategemea kula kupitia kwenu.

Nawashawishi Wafanyabiashara wote Tanzania kuiunga Mkono CHADEMA.

Watanzania tushikamane tusaidiane CHADEMA ili tujikomboe.

Vinginevyo kila mtu atafikiwa kwa wakati wake.

Mambo ya pingu mlikuwa mkicheka mkiona Wanasiasa wa Chadema wakifungwa. Sasa na nyie mumefikiwa.

Unganeni na CHADEMA mjikomboe.

Watanzania, wakati ni sasa.
 
tunajichelewesha sana
 
Mambo ya pingu mlikuwa mkicheka mkiona Wanasiasa wa Chadema wakifungwa. Sasa na nyie mumefikiwa✍🏿.
 
nonsense 🐒
 
Na ndivyo atakavyofanya
 
Wapigwe pingu na virungu Huwa wanajifanya hayahusu.
 
wakibanwa na mamlaka wanagomesha biashara. WANANCHI wapate tabu ili waendelee kuichukia serikali, wafanye jambo. Hili Taifa linahitaji nguvu ya umma kujikwamua. Tumekwama
Shida huko Kuna machawa hawata goma. Ila wote wakikubali serikali itatii
 
Ujinga wa wabongo ni kuabudu siasa
 
Watajikadiria wao wenyewe kodi kwanza wakionekana tu baadhi ya route wanaambiwa zimejaa watafute njia zingine mpaka watafunga Kampuni..
Dar Lux yupo wapi...
 
Waunge mkono chadema? Wee bwana wee yaani ABOOD(MB ccm),SHABIBY(MB ccm),OMARY MSIGWA- super feo na serous(MB ccm) ESTER LUXUARY (MB wazir ccm) nawengine wengi wapo nyuma ya watu wataungaje mkono?
 
Waunge mkono chadema? Wee bwana wee yaani ABOOD(MB ccm),SHABIBY(MB ccm),OMARY MSIGWA- super feo na serous(MB ccm) ESTER LUXUARY (MB wazir ccm) nawengine wengi wapo nyuma ya watu wataungaje mkono?
chadema ni Imani. ni katika kuamini ustawi wa nchi na WANANCHI. Kila mtu anayependa ustawi wa nchi tuungane kwa pamoja kwa ajili ya maslahi mapana ya Taifa. Ni zaidi ya chama flani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…