Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Hawako tayariWako tayari kulipa gharama?
Hawako tayariWako tayari kulipa gharama?
Huyo Tilisho (kampuni ya mabasi) wamefanyaje tena mkuu?CCM na Serikali yake washakata pumzi. Wana CCM wanategemea kula kupitia kwenu.
Nawashawishi Wafanyabiashara wote Tanzania kuiunga Mkono CHADEMA.
Watanzania tushikamane tusaidiane CHADEMA ili tujikomboe.
Vinginevyo kila mtu atafikiwa kwa wakati wake.
Mambo ya pingu mlikuwa mkicheka mkiona Wanasiasa wa Chadema wakifungwa. Sasa na nyie mumefikiwa.
Unganeni na CHADEMA mjikomboe.
Watanzania, wakati ni sasa.
Hawa ndo think tank wa upinzani amabo wanahamasisha watu kutotii sheria? Halafu baadae watakuja kusema tunahitaji katiba mpya ili watu waweze kuwajibishwa. Kweli umaskini wetu si wa mali bali akiliCCM na Serikali yake washakata pumzi. Wana CCM wanategemea kula kupitia kwenu.
Nawashawishi Wafanyabiashara wote Tanzania kuiunga Mkono CHADEMA.
Watanzania tushikamane tusaidiane CHADEMA ili tujikomboe.
Vinginevyo kila mtu atafikiwa kwa wakati wake.
Mambo ya pingu mlikuwa mkicheka mkiona Wanasiasa wa Chadema wakifungwa. Sasa na nyie mumefikiwa.
Unganeni na CHADEMA mjikomboe.
Watanzania, wakati ni sasa.
Basi wapigwe pingu mpaka wakomeWaunge mkono chadema? Wee bwana wee yaani ABOOD(MB ccm),SHABIBY(MB ccm),OMARY MSIGWA- super feo na serous(MB ccm) ESTER LUXUARY (MB wazir ccm) nawengine wengi wapo nyuma ya watu wataungaje mkono?