Tilisho na Wafanyabiashara wote, waungeni Mkono CHADEMA mfanye biashara kwa uhuru

Huyo Tilisho (kampuni ya mabasi) wamefanyaje tena mkuu?
 
Hawa ndo think tank wa upinzani amabo wanahamasisha watu kutotii sheria? Halafu baadae watakuja kusema tunahitaji katiba mpya ili watu waweze kuwajibishwa. Kweli umaskini wetu si wa mali bali akili
 
Kinachohitajika ni umoja tu. Wakubali kuumia lakini wafikishe ujumbe
 
Watawafilisi mitaji yao, hata hilo tukio la jana jamaa wa Tilisho awe makini watakuwa wamemuweka kwenye red line.. Hii serikali na viongozi wake ni wakatili sana
 
Kwa hiyo CHADEMA ikiingia madarakani hakutakuwa na utaratibu wowote kuhusu mabasi? Yaani mmiliki akiamua kuweka stendi nyumbani kwake ruksa?

Mnaosema kwamba wenye mabasi waigomee serikali itawatii mnasikitisha sana. Hilo ni kundi dogo sana linaloweza sambaratishwa na wakaibuliwa wamiliki wapya wa mabasi watiifu. Wasithubutu kusikiliza huu ushauri wenu.
 
Chadema wakae mbali na Biashara za watu

Pambaneni kwanza Mwenyekiti wenu hatoke Lupango
Leo yupo zamu ya kupiga Deki pamoja na Vibaka wajiji🦘✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…