Kastoryalfred
Member
- Jun 25, 2016
- 29
- 13
Uwe unamfahamu vizuriNa mm nlitaka kununua kwa mtu. Hapa umenifikirisha uamuzi wangu mara mbilimbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba unisaidie huyo super dealer ni nan na yupLi till lako limepotea, nenda kwa super dealer akusaidie!
Mengine uyaone tu silazima ujue kila kitu.lugha ya wapi hii.....till la mpesa ndo nini
remote la azam tv shi ngap..??
risiti la TRA
Inakera sana lugha hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Imenichukua wiki 2 tu kupata till yenye jina langu.Wadau habar ya jioni
Nilikuwa na till la M-pesa ambalo nimenunua kwa mtu, si unajua biashara ya matill, Sasa Jioni nimemepoteza simu kwa iyo limepotea pamaoja na simu
Tatizo ni kwamba Yule alieniuzia, tulishapotezana mawasiliano zamani na ninahitaji kurenew na nimejaribu kuongea na voda wananiambia mpaka nimshirikishe Yule aliyesajiri.
Sasa hapa nimechoka nafsi na roho naona usiku hauendi na isitoshe milikuwa na hela
Naombeni wale wazoefu na haya mambo mnisaidie please!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda pale kwa Lutengano jamaa watakupa mwanga! Lakini kwanini usiombe yako!