Till la M-pesa Limepotea

Till la M-pesa Limepotea

Kastoryalfred

Member
Joined
Jun 25, 2016
Posts
29
Reaction score
13
Wadau habar ya jioni
Nilikuwa na till la M-pesa ambalo nimenunua kwa mtu, si unajua biashara ya matill, Sasa Jioni nimemepoteza simu kwa iyo limepotea pamaoja na simu
Tatizo ni kwamba Yule alieniuzia, tulishapotezana mawasiliano zamani na ninahitaji kurenew na nimejaribu kuongea na voda wananiambia mpaka nimshirikishe Yule aliyesajiri.
Sasa hapa nimechoka nafsi na roho naona usiku hauendi na isitoshe milikuwa na hela

Naombeni wale wazoefu na haya mambo mnisaidie please!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachofanya wewe ni kumkimbiza mwizi "kimyakimya" ni vigumu kumkamata. Ukijibu maswali haya yatasaidia kukamatwa hilo li Till lako.
1. Li Till lako ulinunua mkoa gani? 2. Ulikuwa unafanyia biashara mkoa gani? 3. Li Till lako lilikuwa limesajiliwa jina gani? 4. Ni muda gani ulikuwa unafanyia biashara. ?
 
Wadau habar ya jioni
Nilikuwa na till la M-pesa ambalo nimenunua kwa mtu, si unajua biashara ya matill, Sasa Jioni nimemepoteza simu kwa iyo limepotea pamaoja na simu
Tatizo ni kwamba Yule alieniuzia, tulishapotezana mawasiliano zamani na ninahitaji kurenew na nimejaribu kuongea na voda wananiambia mpaka nimshirikishe Yule aliyesajiri.
Sasa hapa nimechoka nafsi na roho naona usiku hauendi na isitoshe milikuwa na hela

Naombeni wale wazoefu na haya mambo mnisaidie please!

Sent using Jamii Forums mobile app
Imenichukua wiki 2 tu kupata till yenye jina langu.
 
Back
Top Bottom