Kastoryalfred
Member
- Jun 25, 2016
- 29
- 13
Wadau habar ya jioni
Nilikuwa na till la M-pesa ambalo nimenunua kwa mtu, si unajua biashara ya matill, Sasa Jioni nimemepoteza simu kwa iyo limepotea pamaoja na simu
Tatizo ni kwamba Yule alieniuzia, tulishapotezana mawasiliano zamani na ninahitaji kurenew na nimejaribu kuongea na voda wananiambia mpaka nimshirikishe Yule aliyesajiri.
Sasa hapa nimechoka nafsi na roho naona usiku hauendi na isitoshe milikuwa na hela
Naombeni wale wazoefu na haya mambo mnisaidie please!
Sent using Jamii Forums mobile app