Timbulo Akamatwa Na Madawa Ya Kulevya Burundi Cheki Picha Za Tukio Hapa

Timbulo Akamatwa Na Madawa Ya Kulevya Burundi Cheki Picha Za Tukio Hapa

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
35,771
Reaction score
4,065
Timbulo-%28burundi-beat%29.jpg

Timbulo-2-%28burundi-beat%29.jpg

Timbulo ndio waziri wa nini tena? maana hii serikali ya FASTJET ina vituko?
 
na wewe pia great thinker?hauna akili hata punje,mtu mwenye akili timamu hawezi kumuombea binaadamu mwenzake mabaya kiasi hicho.

Wewe ndio hauna akili, unadhani huo unga aliokuwa amebeba ni unga wa sembe au? ulikuwa unakuja kuuwa watu! mamia ya vijana ambao ndio nguvukazi ya Taifa wanateketea kwa ajili ya Wajinga wachache kama hawa wenye tamaa ya PESA CHAP CHAP! ningekuwa karibu ningemlima RISASI mjinga sana huyu!!!
 
hao vijana kwani huo unga wanalishwa kinguvu,wenyewe wamekata tamaa ya maisha na sisi tunawaletea tu,eti ungekua karibu ungemlima risasi hao walomzunguka wote wanazo risasi mbona hawajampga sababu wana akili timamu.
 
Mizigo ya vibosile hiyo,
kesho tu utamkuta uraiyani.
 
Kama kuna kitu namshukuru mungu, ni kuweza kucontrol tamaa za kibinadamu. Maana hizo zote zilizomponza ni tamaa za kipuuzi tu.
 
Back
Top Bottom