The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Diamond Ana pesa ukilinganisha ya wabongofleva wenzake , exposure , tuzo nyingiMafanikio gani....taja matatu with exception ya wanawake wengi na hasa aliozaa nao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond Ana pesa ukilinganisha ya wabongofleva wenzake , exposure , tuzo nyingiMafanikio gani....taja matatu with exception ya wanawake wengi na hasa aliozaa nao.
Yaani mpaka akaenda kuomba kolabo na Vanessa ila akanyimwa bado unauliza atapunguziwa nini?Kwani huyo malaya asipomjua timbulo inampunguzia nn?.
Vmoney sio wakufananishwa na vitu vya kijingaKwahiyo unataka kumfananisha uyo changu na timbulo?
Timbulo ni Timukiba namjua huyo jamaa hampendi diamond na hawezi kumsifia diamond hata siku moja
Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Timbulo amesema wasanii wa Bongo wajifunze kutoa kazi zao kwa lengo la kujitangaza nje ya nchi kuliko kutengemea wasanii wa nje ambao muda mwingine hawana mchango wowote.
Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Vibaya’ ameiambia The Playlist ya Times Fm kuwa mfano mzuri kolabo ya Diamond na Davido kwani kolabo hiyo ilimtangaza zaidi Davido hapa nchini kuliko Diamond nchini Nigeria.
“Kumshirikisha msanii wa nje ni kumleta hapa, tumemjua Davido baada ya kushirikishwa na Diamond baada hapo Davido alikuwa kama Mtanzania vile, anavyopingwa utasema anatokea Manzese vile lakini Davido hakumsaidia kule. Chukua mziki upeleke kule, Darassa ame-trend mpaka Afrimma hakumshirikisha msanii yeyote wa nje” amesema Timbulo.
Timbulo aliendelea kwa kusema Alikiba ameweza kushinda tuzo bila kolabo na msanii wa nje na kueleza hivyo ndivyo inatakiwa.
“Mfano Turudi hapa hapa, Alikiba amefanya kazi nyingi na amefikia hatua amechukua tuzo za MTV si kwa kolabo ni kazi za nyumbani, kwa hiyo tunaweza kufanya siyo lazima kolabo nje watu wasikariri” amesisitiza.
Bongo 5
Team kiba on fleekWeka nyama kama Msomi tuelewe na uweke one of the concert kuthibitisha hilo....
Huyu naye alitoa kali yaani alicopy nyimbo zote mbili kutoka kwa wasanii wa kundi moja. Ana nyota ya kenge kucopy swaga za mambaTimbulo ili aendelee kushine kama zamani ilibdi aendelee tu kucopy nyimbo za kina maxmalea(spelling sahihi sizijui) ila ni wale jamaa wa cameroon cjui aliowaibia melody ya zile ngoma zake mbili Domo langu na waleo wakesho.