dirtyboy
JF-Expert Member
- Sep 16, 2017
- 380
- 669
Mkuu ngoma yako lini?Good Good timbulo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ngoma yako lini?Good Good timbulo
Ndo wasanii wa bongo wanavoamin kuwa ukitaka kiki mtukane bwana simba aka domo tengaTimbulo namkubari japo hana nyota ila kila interview lazima arushe bango kwa mond kuna siku alikuwa anahojiwa na casto dickson alimrushia mond bango pia.
Kwahiyo unataka kumfananisha uyo changu na timbulo?tangu vanessa aseme hamjui jamaa mpaka leo hayuko poa
Kwani huyo malaya asipomjua timbulo inampunguzia nn?.timbulo yule aliekataliwa kolabo na vanessa ?
eti kisa Vanessa hamjui Timbulo
Punguza chuki...Pesa alizo nazo diamond mnachanga ukoo mzima....!!!!Mafanikio gani....taja matatu with exception ya wanawake wengi na hasa aliozaa nao.
Mtu akishauriwa mnasema hapendwi ndo mana tutaendelea kuwa wa mchangani tuu.Wasanii wengi wanamchukia diamond cz ya mafanikio yake
Madam., naona umeamua kutuvuruga akili asubuhi na mapema!Ni kweli Diamond amempaisha sana Davido, hata concert zao watu walifurahia uchezaji wa Diamond zaidi.
Huyo timbulo Ni Mpuuzi , yaani watz wamemjua davido baada ya kushirikizwa na diamond , iko kitukoTimbulo wakupuuziwa