Timbulo ampongeza Alikiba na kumkosoa Diamond, kisa kolabo na wasanii wa nje

Timbulo ampongeza Alikiba na kumkosoa Diamond, kisa kolabo na wasanii wa nje

Timbulo namkubari japo hana nyota ila kila interview lazima arushe bango kwa mond kuna siku alikuwa anahojiwa na casto dickson alimrushia mond bango pia.
 
Timbulo ni Timukiba namjua huyo jamaa hampendi diamond na hawezi kumsifia diamond hata siku moja
 
Huyo Tumbili sijui Timbulo....anasikika tu anapotaja jina kubwa la Diamondi....
 
Yaani Timbulo anampa ushauri Diamond? Sawa.
 
"Ukiona unachukia MTU yoyote bila 7bu za msingi jua unatabia kama zakwake"
 
Hhahahhah hako kadogo kana nyimbo ....ndio mana kanatafuta tension
 
hajafikia hadhi ya kumuongelea mondi achangie juu ya mromboso tu
 
Back
Top Bottom