Timbulo ampongeza Alikiba na kumkosoa Diamond, kisa kolabo na wasanii wa nje


Kwa mawazo yake yeye anaona yupo sawa labda tumlekebishe kidogo inawezekana timbulo alikuwa hamjui davido kamjua baada ya remix ya diamond na kolabo ina umuhimu wake kwani n nani ambay hamjui drake lkn kwnn drake alitamani kufany kolabo na wizkid kwahiyo ajaribu kutofautisha kwanza au kwa vile yeye aliambiwa sikujui na vanessa nd imekuwa shida
 
Timbulo ili aendelee kushine kama zamani ilibdi aendelee tu kucopy nyimbo za kina maxmalea(spelling sahihi sizijui) ila ni wale jamaa wa cameroon cjui aliowaibia melody ya zile ngoma zake mbili Domo langu na waleo wakesho.
Huyu naye alitoa kali yaani alicopy nyimbo zote mbili kutoka kwa wasanii wa kundi moja. Ana nyota ya kenge kucopy swaga za mamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…