pappi_santana
Member
- Mar 20, 2024
- 60
- 72
Quantum physics
Hii ni mojawapo ya branch za physics tuh ambazo vinaelezea kuhusu vitu vingi mfano
Time travel
Worm holes
Time dilations
Light&gravity
Time travel
Ushawahi sikia mtu anatoka future kwenda past au past kuja future ???hii nadharia nadhani wabongo tunaihisi kwenye mamovie tena ya wenzetu mfano sisyphus na interstellar lakini ukija kwenye vitabu inaonekana ni kitu ambacho kina ukweli ndani yake na uongo ndani yake(yaani wanasayansi wanajiumbua wenyewe😂😂)
Mwaka 1927 Albert Einsten mmoja ya wataalamu wakubwa hajawahi tokea alisema time travel ni kitu ambacho kipo na hata hapa duniani unaweza fanya mfano visiwa vya polyneasia na marekani ni vimepishana kilometa 70 tu!! Ila katikati yake kuna mstari wa muda yaan international date line kwakuwa polynesia wakisheherekea sikukuu ya mwaka mpya huku upande wa pili marekani watakuwa nyuma kwa masaa23 kwahiyo ukipanda ndege ukaenda marekani utakuwa umetime travel…..sasa bwana einsten akaanza matheory yake sasa akaaelezea ya kwamba space&gravity vikiwa kwa pamoja vinaweza fuse kuzalisha wormhole ambazo zinaweza msafirisha mtu kutoka sehemu moja mpaka nyingine tena kwa haraka zaidi
Ila mpaka leo hii imebaki kuwa nadharia sababu haijaproviwa bado
Wanasayansi sasa wanajiumbua wenyewe kwa kusema hata mtu akitime travel hawez tekeleza lengo lako na haitawezekana wakaiita hii kitu paradoxes
Mfano
1.Umezaliwa
2.ukagundua kuwa babu yako alikufa kwenye vita vya pili vya dunia
3.ukagundua chanzo cha vita ni adolf hitler
3.ukavumbua mashine ya time travel
4ukasafiri kwenda past
5.labda ukamuua hitler alivyozaliwa tu pale😂
6.kwahiyo babu yako hatakufa
7.na wewe utazaliwa present tena hutakuwa na idea ya kuvumbua hiyo mashine coz babu yako hakufa😂😂😂😂wala adolf hitler hakuwepo
Kwahiyo utabaki trapped kwenye hiyo event infinitly😂😂(mwacheni Mungu aitwe Mungu)
Time dilations
Hivi ushawahi sikia kuhusu muda kuchelewa???ngoja nikufumbue macho sasa kwanza dunia yenyewe yetu haijizungushi kwenye muhimili wake kwa saa 24 kamili hapana bali ni masaa 23:dkk54:56seconds kwahyo hiyo 24hours inakuja kwa wale wana jf wataalamu wa math wana approximate(bila D 2 huwezi elewa shenzi!!😂😂) time ni real thing ila sasa inachochewa na light(mwanga) na speed ya mwanga ni 300,000km/s(kilometa laki tatu kwa sekunde)kwahiyo kama kungekuwa na kitu kinasafiri kwa speed ya mwanga ingezunguka dunia nzima mara 7 kwa sekunde😳
Na kwa speed hiyo mpaka kufika kwwnye mwezi ni dakika 1 tuh
Na kufika mars kutokea duniani ni dakika 3 tuh
Sisi tunategemea jua na jua ni nyota ila tunaiona kubwa sabavu ipo karibu na dunia mwanga wake unatumia dakika 8 tu kufika duniani
Hii inamaanisha speed ya mwanga ndo speed kali kuliko zote ila sasa ina ukakasi flani hivi chukua mfano huu
Watoto wawili mapacha wamezalia alafu mmoja mpakize kwenye spaceship alafu aondoke earth kwa speed ya mwanga aende akazurure huko juu kwa miaka mitano tuh ila chombo chake kitembee asilimia 99.9 ya speed ya mwanga.
Akirudi huku duniani atakuwa na miaka 5 ileile ila huyu mwenzake aliemuacha atamkuta na miaka 95😳😳😳
Uchawi ndo unaanzia hapo sasa ndipo scientists wakaipa hiyo theory (time dilation)
Hivi vitu ndugu yangu ukiviwazia sana unaweza nyonyoka nywele zote 😂😂😂
Wakati mwingine nitakuja kuelezwa maajabu mengine tusiyoyajua hasahasa mambo ya artificial intelligence(akili bandia&neuralink ya elon musk)
Coming soon…….