pappi_santana
Member
- Mar 20, 2024
- 60
- 72
- Thread starter
- #21
Ewaaaaa hapo sawa ila hii haitatujibu kila kitu ni vema ungetumia hata chatgpt😂😂😂Siri ipi iliyojificha kati ya 'Space and Time' kwa kutumia 'Relativity Theory' ya Albert Einstein?
Mtaalamu Albert Einstein kaacha maswali mengi kuliko majibu kupitia Three dimension (3D) theory, Einstein anasema kwamba kitu chochote kinachokwenda katika mwendo kasi kitaloss gravitation na kucover large space at short time. Na Ndipo hapa suala la space and time linaleta sintofahamu. Ukitumia...www.jamiiforums.com