pappi_santana
Member
- Mar 20, 2024
- 61
- 77
- Thread starter
-
- #21
Ewaaaaa hapo sawa ila hii haitatujibu kila kitu ni vema ungetumia hata chatgpt😂😂😂Siri ipi iliyojificha kati ya 'Space and Time' kwa kutumia 'Relativity Theory' ya Albert Einstein?
Mtaalamu Albert Einstein kaacha maswali mengi kuliko majibu kupitia Three dimension (3D) theory, Einstein anasema kwamba kitu chochote kinachokwenda katika mwendo kasi kitaloss gravitation na kucover large space at short time. Na Ndipo hapa suala la space and time linaleta sintofahamu. Ukitumia...www.jamiiforums.com
Tafadhar akirudiUFO ziliishia wap je area ,47 washawah lunch UFO yeyote
Je waliweza kujua teknolojia Gan inaendesha hizo UFO
Mzee hata hatuelewani hapa.Hongera bro kwakuwa naona umekuja flani hivi alafu ukanikosoa kimtindo ila by the way naona unachoongea wewe na nlichokisema mimi havina utofauti kama umeshasema “unaweza ona concept za relativity applied kwenye quantum mechanics and its normal”
Hapo tumeongea lugha moja✌️
Nataka uniquotie page inayosema two different places on Earth ambazo ziko at different dates zinaexist on different timelines kama mfano wako ulivyosema mtu anaweza kutravel kutoka timeline moja kwenda nyingine kutokana na utafauti wa tarehe.Nenda kasome (the great discovering of einsteins)
This is not how we argue, leta facts wacha kusema ngoja nikuache ushinde. Hakuna anataka kushindana mkuu umeweka hoja lazima uwe tayari kuchambua.Ushawahi kusikia kuhusu multiverse wewe?
Kama umeshawahi kusikia hiyo basi utajua kuhusu quantum entanglement (molecule inaweza ikawa sehemu mbili simultenaously )
NAOMBA TUSINGEBISHANA KWA HILI
Ngoja nikwache ushinde wewe🙏Chill broh
Exactly, pitia huu uzi nahisi utaelewa sasaSiri ipi iliyojificha kati ya 'Space and Time' kwa kutumia 'Relativity Theory' ya Albert Einstein?
Mtaalamu Albert Einstein kaacha maswali mengi kuliko majibu kupitia Three dimension (3D) theory, Einstein anasema kwamba kitu chochote kinachokwenda katika mwendo kasi kitaloss gravitation na kucover large space at short time. Na Ndipo hapa suala la space and time linaleta sintofahamu. Ukitumia...www.jamiiforums.com