Time travelling kusafiri mbele au nyuma ya muda inawezekana?

Time travelling kusafiri mbele au nyuma ya muda inawezekana?

Leo tar 11, Ukienda Ethiopia wanashereke sikuu za kuukaribisha mwaka 2018
FB_IMG_17575847423497483.jpg
 
Kwa hiyo Yesu bado yupo kule miaka 2000 iliyopita anakula chakula chake cha mwisho yeye na wafuasi wake? Chakula hakiishi wala tukio halikamiliki?
Na kama Huyo jamaa alirudi huko angeweza hata kunyakua mikate akatibua mambo
 
Kama huwezi kusimamisha muda
hutawezaje kurudisha muda nyuma au kupeleka mbele

Kwanza hata muda wenyewe haupo!
 
Back
Top Bottom