Time travelling kusafiri mbele au nyuma ya muda inawezekana?

Kwa hiyo Yesu bado yupo kule miaka 2000 iliyopita anakula chakula chake cha mwisho yeye na wafuasi wake? Chakula hakiishi wala tukio halikamiliki?
Na kama Huyo jamaa alirudi huko angeweza hata kunyakua mikate akatibua mambo
 
Kama huwezi kusimamisha muda
hutawezaje kurudisha muda nyuma au kupeleka mbele

Kwanza hata muda wenyewe haupo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…