Time travelling kusafiri mbele au nyuma ya muda inawezekana?

Wanaita Quantum continuum nadhani
 
Mada ngumu kuielewa ila ungefafanua kwanza maana ya time travelling na mifano iliyo hai
Nenda hata google ujielimishe na wewe sio kila kitu uambiwe utakuwa baba wa aina gani kwa wanao kama haujui kitu simple kama time traveling?!

Movie kibao zinaongelea hi kitu inamaana hautazami movies , au we ndio wale wa zile za kutasiriwa na hawa makanjanja .....
 
Kwa mfano ukirudi hadi mwaka ulipofanya necta ya form 6 utakuwa umondoka at your present na umekwenda kwenye past yako. Of which sasa ukiwa hapo kwenye mwaka wa kupiga pepa your previous present become your past na your previous past now itakuwa your existing present.

Therefore, wewe utakuwa upo katika wakati ambao upo wewe mara mbili sasa sababu haukuondoka huo mwaka uliopo bali umejikuta kabla ya kufanya mtihani.

Sasa hapo labda ujiteke ukapige pepa fasta fasta kisha usepe na kurudi at your current present of which by the time umeondoka na kwenda wakati kabla haujapiga pepa imekuwa ni past yako wewe uliyesafiri kurudi nyuma ya muda.

Shida ni moja sasa tufanye ulienda mwaka 2010 kurekebisha makosa ya form 6 then ukirudi mwaka 2021 ,yale matokeo yatabadili trend ya past yako ambayo itaathiri present yako.

Usishangae unafika mwaka 2021 unakuta kuna vitu vimetokea na wewe u are not aware. What if ulipofaulu form 6 ikafanya upate sponsorship ambayo currently haujui lolote kuhusu.

What if ile sponsorship ilikufanya kuwa mtu mwenye mafanikio sasa. So kitakachotokea ni kwamba utaporudi utarudi katika dunia yenye maswali ambayo wewe hujui chochote kuhusu. Maana ulichobadili nyuma kinakwenda kubadilisha trend ya maisha yako na kila kinachokuzunguka.

So utakuwa kama ile movie inaitwa hangover. Jamaa wanaamka halafu hawaelewi nini kilitokea jana yake so wanaanza kupekua

Sasa utashangaa umerudi mwaka 2021 unakutana na mtu anakuita shemeji ulikuwa wapi unasubiriwa hospital mkeo ameshajifungua.

Mara unakutana na mtu anakuita boss mbona umeondoka tokea jana hatujui upo wapi kazini unatafutwa.

So imagine hiyo complication itabidi uanze blend katika maisha ya tofauti kabisa ambayo haukuwapo awali.
 
Huwezi kuwa na uhakika kihivyo. Wewe haujui kama mwaka 2046 tayari kuna existing life na kuna hiyo technology tayari na wanakuja huku.

Hebu imagine mtu kama Steve jobs alikujaje na wazo la kutengeneza smart phone, Swatch, na other gadgets, Mark Zuckerberg alipataje wazo la Facebook and why inakuwa ni out of nowhere mtu anakuja na uvumbuzi au idea ambayo ni totally foreign and beyond the current level of thinking.

Nikikuchukua wewe hapa nikakurudisha hadi mwaka 2000 ukiwa na akili hii ya sasa hebu nambie utafanya mangapi mkuu?! Na utakayofanya je ukipitiliza hauta raise maswali kwa wengine juu uwezo wako ambao unakimbiza na kujump nyakati?! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabisa mkuu. Unajua sisi waafrika uwezo wetu wa kufikiria unapofika mwisho basi tunaassume kuwa hakuna anything nje ya hapo. As if ukomo wetu wa kufikiria mambo ndio unadetermine nini kina exist hapa ulimwenguni.

Kuna kipindi waafrika tulijua anga ndio mwisho wa kila kitu na dunia ni flat surface. Ila leo wazungu hawakukubali hadi wamekwenda nje ya dunia na kuleta video za HD na 8K zenye kuonyesha clearly ulimwengu namna ulivyo huko nje.

Ila bado kuna watu hawajui hilo
 
Mmmmmmhmn mzee hii kitu haujaisoma deep. Umbo low sana ..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hebu nenda mtandaoni kasome tena sababu me siku kadhaa nilikuwa nasoma mtandaoni na kucheki video.

Nahisi hii teleporter mashine ya time traveling imeshatengenezwa in the future na kuna watu wa future years tupo nao hapa mwaka 2021.

Usichukulie mambo kirahisi mzee baba
 
Travel to the future might be possible but to the past it’s impossible.
Time has got only one direction, foward.

I stand to be corrected.
Times works forward yes ila haimaanishi kuwa you can't go back through it.....

Ni kama useme barabara inayopitisha direction moja tu kuwa sitaweza kuipita nikienda opposite direction ....?!
 
hio ni method ya zamani, TIME TRAVEL is possible only under the conditions of space time! nkimaanisha tearing a part of space and diverging to the other side or simply you can use WORM HOLES!
Black holes. Also dimensions
 
Nadhani wewe haujasoma latest findings.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
In your timeline kwenda future is impossible ila kwenye past is possible.
 
At the same time wewe utakua umezaliwa na wazazi gani?

Meanwhile ulio waua sio wazazi wako
 
At the same time wewe utakua umezaliwa na wazazi gani?

Meanwhile ulio waua sio wazazi wako

that thread will be another thread na katika hio story kuna mwingine anaweza kurudi kabla hujawaua
 
Kwa hiyo Yesu bado yupo kule miaka 2000 iliyopita anakula chakula chake cha mwisho yeye na wafuasi wake? Chakula hakiishi wala tukio halikamiliki?

Good thinking bruv[emoji23][emoji23]are they meaning to say tuko kwenye continuous loop au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…