Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Mzee ukitaka ku-time travel unatakiwa atleast uwe na speed zaidi ya Light. Kutokana na equation ya Einstein ya E=MC2 ili uwe na speed zaidi ya light inatakiwa hicho kitu kisiwe na Mass au energy inayotakiwa kukipeleka speed ya light iwe infinity. Yaani uchukue matter yoote ya universe uichange into energy ndio unaweza kumove kitu chenye mass into speed ya light.
Sasa kupunguza tu wingi wa maneno ni kwamba haiwezekani.
Hio ni physics point of view.. sasa ukitumia logic ya kawaida kuna ile kitu wanaita " grandfather paradox " mfano ukifanikiwa kutime travel ukaenda ukamuua babu yako inamaana baba ako hatazaliwa na wewe hutazaliwa inamaana hutaexist ili kuja kutimetravel kumuua babu yako.. unaona changamoto ilipo.
Grandpa paradox dipicts the time-travel backwards, what about the time-travel forwards ??!!