Time travelling kusafiri mbele au nyuma ya muda inawezekana?

Sio kila mtu ana muda wa kutazama "movie kibao". Kama huwezi kumuelimisha mtu tulia wapo watu wenye roho pana za ku share maarifa. Wewe endelea kung'ang'ania elimu yako ya google na movie.
 
Kuna mwamba alinambia, palipo na makutano ya muda yaani longitudes, kwa maana ya north na south poles ndipo unaweza kusafiri kwa muda.
 

…..Time travel ni topic kubwa kidogo kwako, sio kitu cha kueleweka na kila mtu, vichwa vyetu wengi vimejizuia kuwaza vizuri kwa sababu ya mazingira tuliyokulia.
Kwa uwezo wako leo tambua tu kuwa leo Time travel nadharia kwa wengi lakini kesho itakuwa kitu halisi kabisa. Miaka 500 iliyopita kusafirisha picha yako kwa video call ilikua nadharia lakini leo una uwezo wa kuwasiliana kwa video call.
Tuwaache wenye akili wafanyie kazi alili zao
 
Hapa sijaelewa chochote
 
Hapa umejitahidi kudadavua
 
kama time travelling ingewezekana, basi mpaka sasa tungeona mtu kutoka miaka ya mbele. Ni haiwezekani au binadamu wameperish wote kabla ya kuigundua.
 
Hapa sijaelewa chochote

i understand but kama hauna background nzuri ya physics no matter how hard mtu atakuelezea ni ngumu sana kuelewa kwa sababu ni kitu kigumu sana kukiweka into practical, but theorotically it is ok
 
Butterfly effect
 
Iyo kitu ipo mkuu, sijui kuhusu kusafiri kwa miaka, lakini kusafiri through space hii inafanyika sana, hata hapa hapa Bongo watu wanaifanya sana, hii kitu ipo japo wenzetu hawatumii mitambo lakini wanatumia tamaduni, nenda Lindi, Rukwa, Shinyanga, Mtwara, tafuta wazee, wauliuze hili swali kwa kiswahili ambacho wao watakuelewa, alafu omba ufanyiwe wewe majaribio, nina maanisha nilichokianfika. So wanaokataa acha wakatae lakini kila unachokiona kwa hao wazungu, kipo na wao wanachokifanya ni kukuaminisha kwamba wewe huwezi fanya bila ya technology, technology ipo, ilikuwepo na itakuwepo.
 
Kuna kitabu kinaitwa The montauk project, kinazungumzia waliojaribu kufanya Hilo zoezi.
 
Travel to the past inawezekana (in theory lakini)
Iwapo tu nitapata chombo kitakachonisafirisha kwa speed ya light 300000km/s.
Issue inakuwa ngumu pale ambapo kadiri ninavyozidi kwenda speed ndo uzito wa chombo unakuwa infinity. (Cc theory of relativity of Albert Einstein).
 
Nimekuwa mfuatiliaji nzuri wa haya mambo lakini kuna vitu bado sikielewi kabisa ni kuhusu huyo padre aliyepata kurudi nyuma ya muda miaka mingi iliyopita kushuhudia tulip zima la kalamu siku ya mwisho na kusurubiwa kwa Yesu alitumia technolojia gani kumfikisha huko? Je alifanya meditation au kuna chombo maalumu pia huyo jamaa aliyepata kujiona katika future nae alitumia kitu gani maana hile nadharia yake ya kupita kwenye kama kamtalo maana mpaka saiz hata huyu mwanateknolojia Mkubwa bwana Elon mask hajapata kufumbua hicho chombo
 
Hapo ndipo shida ilipo, yaani kama mtu alizaa nje ya ndoa na mtoto ameshakua inamaana akirudi nyuma akarekebisha makosa inamaana mtoto hatozaliwa, hiyo itaathiri vipi ulimwengu wa sasa ambao yule mtoto yupo tayari?
 
Hapo ndipo shida ilipo, yaani kama mtu alizaa nje ya ndoa na mtoto ameshakua inamaana akirudi nyuma akarekebisha makosa inamaana mtoto hatozaliwa, hiyo itaathiri vipi ulimwengu wa sasa ambao yule mtoto yupo tayari?
Hapo paradox ndio shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…