Time travelling kusafiri mbele au nyuma ya muda inawezekana?

Hili jambo halipo na kama linawezekana kuwepo basi litavuruga maana nzima ya maisha, pengine ndo likawa chanzo cha mwisho wa ulimwengu maana kila kitu kitavurugika. Chaos.
 
Hili jambo halipo na kama linawezekana kuwepo basi litavuruga maana nzima ya maisha, pengine ndo likawa chanzo cha mwisho wa ulimwengu maana kila kitu kitavurugika. Chaos.
Hili swala linawezekana spiritually but not physical
 
Nielimishe mkuu
Tumia akili ..mfano upo duniani leo ukatazama angani ukaona nyota ya mbali sana inalipuka basi upo uwezekano hiyo nyota ililipuka miaka mingi iliyopita ila wewe ndiyo unaona mlipuko leo ..maana yake kama kwenye hiyo nyota kungekuwa na binadamu labda wanaishi na wewe kutizama na darubini yenye nguvu kuwa hadi kuwaona hao binadamu leo ujue hicho unachokiona ni kitu kilicho tokea miaka kadhaa nyuma ...mbona ni mahesabu ya distance and time and speed
 
unaosafiri ni mwanga sio wewe!, umesomea sayansi ya wapi hii
Dalili ya kwanza utakapo fikia kasi ya mwanga ni kuona vitu vimeganda hapo maana yake tayari una safiri kwa kasi ya mwanga
 
... claiming Einstein's speculative theories ... !
🤣
 
Kukusafirisha kwenda wapi
 
Kwa mfano 1985 labda mzee wangu alikua amenibeba nikiwa nimezaliwa wakatokea majambazi wakamzuru mzee ,sasa kwa muda huu nikiweza kufanya time travel nikirudi hadi siku hiyo nikitaka kuwazuia wale majambazi wasimzuru mzee ,nitakua namuona mzee amenibeba au nitakua na silaha napigana na wale majambazi
 
Kwa hiyo Yesu bado yupo kule miaka 2000 iliyopita anakula chakula chake cha mwisho yeye na wafuasi wake? Chakula hakiishi wala tukio halikamiliki?
Hii ni hoja fikirishi. Au ndo kusema unaporudi nyuma unakuwa kama una rewind matukio pia , hivyo yanakuwa kama yanaanza upya hivi. Najaribu kuwaza tu. Ngoja ufafanuzi utolewe.
 
Hii ni hoja fikirishi. Au ndo kusema unaporudi nyuma unakuwa kama una rewind matukio pia , hivyo yanakuwa kama yanaanza upya hivi. Najaribu kuwaza tu. Ngoja ufafanuzi utolewe.
Time na space na light iwepo utaweza kusafiri ndo maana utafiti unaendelaea ile tunnels iliopo btwn point mbili inaweza tumika hapo nakuelezea wormholes.
 
Tafuta series inaitwa A WHEEL 🎡 OF TIME kwa kiswahili usukani wa muda utaelewa kidogo
 
hio ni method ya zamani, TIME TRAVEL is possible only under the conditions of space time! nkimaanisha tearing a part of space and diverging to the other side or simply you can use WORM HOLES!​
SISI SOTE TUNASAFIRI KIWAKATI -- WAKATI WOTE!

Kinachooneshwa kwenye filamu za janra za Sai-Fai ni 'Usanii' wa kuchangamsha 'Uimajinishi'...

Bado kidogo kuna msingi wa Kufahamu na Mafahamu unahitajika kuwepo na wanajamii ili wapate ku-JUA ilivyobora...
​


== Navigesha katika Supasha (1) : Ujicho kwenye Pumzi == ​


Yantra Dhamma na Trizaniamu ni konstrakti za Mraba na Pembetatu katika Uduara ilivyo ni muktadha akilifu kwa (1) Miundo, (2) Utendaji na (3) Pumzi ya Uzima/Msimamo wa Jambo/Mambo. Hili lafanya Unyoofu na Sifa Mraba ni uwezekano kwa Uhamonia Jumuifu kukadirishia yote mawili (1) Inesha, na (2) Mwendo.

Kwa mintarafu ya haya, muktadha akilifu wa longitudi na latitudi unaweza kuwa ni ufunguo kwa kubayanisha upahala na matendo, vile vile upahala na wakati—mambo ya Supasha na Wakati; kwa kuwa mwenendo wowote ni Mageuzi ya Kiupahala na Inesha; ambavyo inesha ni jambo kama sifa na hadhi ya dutu kukinza kule kuhama kutoka nukta moja hata ingine. Hili lafanya ‘Inesha’ ni jambo lenye kushahibiana na kitovu cha Uduara wa Kuzunguka ama Kujizungurusha.

Kiufundi, longitudi na latitudi ni konstrakti kwa ukubuishi wa ‘inesha’ kuwa kwamba Ulimwengu Wote umefanyika kwa Mwenendo na Utulivu kwenye fanusi ya Utendaji iliyo ni mithili ya chembe-wimbi. Hili lafanya ‘Usentienti-Konsayansi-Nuru-ya Ufahamu’ ni namna ya ‘Ufalme Usiohamishika’ wa Fahamu na Mafahamu ilivyo ni METAFANUSI ya Ukubuishi wa Fahamu na Mafahamu.

Kiufundi, Ulimwengu wote ni Ukubuishi wa Fahamu na Mafahamu unaowezesha Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu kuwepo kote na pote mithili ya Vitovu vya Mitetemo kwenye Uso wa Maji—Maji yenye Sifa na Hadhi Kusafirisha Mawimbi Kote na Mote na tena Kuakisi namna ya Mwangwi wenye kuweza kufuta ‘Pumzi’ ya ‘Uwimbi’. Hili lafanya, vitu vyote vilivyofanyika ni ‘Uhamonia Jumuifu’ ya ‘Mawimbi’--mawimbi yenye asili ya ‘kiini’ na ‘Utetema’ wenye kurindima kote katika ‘Maji ya Uzima’--Mambo ya Eitha…

Kiufundi, ‘Maji ya Uzima’ ni muktadha akilifu wa Kile kinachoweza kushikilia ama/na kuhifadhi Utetema wowote; ambavyo Akili, Utashi na Ufraktali ni msingi wa ‘Roho wa Mungu’ – asili ya Miundo, Utendaji na Uzima wa mambo ilivyo ni ‘Mbingu na Nchi’ kwenye mapokeo ya Dini na Jinesesia. Hili lafanya, Eitha ni dutu-hai yenye kusadifu UTUFE na UKUBU kama ‘MIFUMO HAI’ ya Uhamonia Jumuifu wa NIA na DHAMIRA ya MIUNDO YA UTENDAJI. Uhamonia Jumuifu katika Eitha ndiyo nasibu ya Matano ya Jiometria Takatifu (1) Tetrahedrani, (2) Kubu, (3) Oktahedrani, (4) Ikosahedrani, na (5) Dodekahedrani…

Basi ndiyo yawa, sifa na hadhi ya vitu vyote kuwepo kwenye Kosmosi ya Supasha kama Dutu-Sayari ama Dutu-Nyota ni jambo lenye asili ya UTUFE na Unukta wa NISHATI; ambavyo Unishati ni Sifa na Hadhi ya Pumzi yenye Kukadirisha aidha ‘Inesha’ ama ‘Mwenendo’ ilivyo ni mambo ya kuzunguka na kujizungurusha ilivyo ni ishara ya Majira na Nyakati. Hili lafanya, analojia ya Kuzima na Kuwaka kwa Ulimwengu wote mzima ni CHANZO cha Uchembe-Wimbi wa yote—mwanzo wa chembe frakatali kuelea kwenye ufraktali wa mawimbi kwa namna zenye asili ya ‘Nguvu Gravitali’…

Kwa mintararafu ya haya, ‘ufraktali wa mawimbi’ ni muktadha akilifu wa ‘Ugani wa Ushawishi’--Ugani wa Ushawishi kwa densiti za mifumo ya matendo ya unguvu gravitali; ambavyo iwe ni ‘Sayari katika Mfumo wa Jua’ ama ‘Elektroni/Chaji Umeme katika Atomu/Tonadari’, vitu vyote ni ufraktali wa ‘Tungamo la Inesha na Mwenendo’(Kiingereza> Mass, Inertia, Motion). Hili lafanya, Uhamonia Jumuifu ni finomena ya ‘Nguvu Gravitali/Umeme’ zenye kufuatisha ‘Ukinyume-wa- Nguvu-Kimraba’(Kiingereza>Inverse Square Law: Gravitational/Electrostatics).

Kiufundi, Tungamo ni mseto wa Chembe-Wimbi za Uhamonifu Jumuifu ulionimchanganyiko ama homojinesi ya mkusanyiko wa ‘Densiti za Mifumo ya Matendo ya Unguvu Gravitali’; ambavyo muktadha akilifu wa dutu itokanayo na ujumuifu wa molekyuli/kampaundi ama ‘Elementi’ husadifu sifa-tabia-hadhi za kikemikali. Hili lafanya, Unishati wa asili ya Umeme na Ugravitali ni mwanzo wa kukadirisha sifa-tabia-hadhi za kifizikali na kimetafizikali.

Kiufundi, sifa-hadhi-tabia za kifizikali na kimetafizikali ni muktadha akilifu wa ‘Densiti za Mifumo ya Matendo ya Unguvu gravitali’ na kumbe Kwenye Mfumo Wowote kuna fanusi ya Utendaji iliyo kana MUONA NI MUONWA; ambavyo ‘Inesha’ na ‘Mwenendo’ si chochote bali finomena ya Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu. Hili lafanya ‘Unguvu Gravitali/Umeme’ ni jambo/mambo yenye asili ya UFAHAMU na MAFAHAMU—Miili yote ni Ujumuifu wa Mifumo yenye Kuona na Kuonwa kwa wakati mmoja ; mambo ya Ufraktali wa Shauri katika sifa-tabia-hadhi ya ‘Unafsi’.

Kiufundi, Sisi sote tuna Unafsi wenye Sifa-Tabia-Hadhi ya Kutunza na Kuhifadhi sura ya jambo/mambo kwa namna zenye ushiriki wa Shauri; ambavyo kuona kwetu yote kikemikali na kifizikali si chochote bali ‘Makubaliano’ ya ‘Vina vya Tafsiri’ katika Ugani wa Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu. Hili lafanya, mtu/mwanajamii anayeweza ‘Kukaza Nia’ katika Ukubuishaji wa Fahamu na Mafahamu anaweza ‘kupindisha sheria’ za ‘Inesha’ na ‘Mwenendo’--kupindisha ‘Vina vya Tafsiri’ na ‘Muitikio’ wa madhahiri kwa kile tunachoweza kukimaizi kama matendo ya ‘Miujiza’--asili khasa ya metafizikia yenye kupanga na kupangua ‘unasaba’ wa ‘Jinesesia’ ya ‘Dutu’ iwe kikemikali ama hata kifizikali…

Basi ndiyo yawa, Unafsi/UTU ni mwanzo wa NIA ya kuyamudu ya Nafsi na Wakati katika Mazingira na Mazingara ya ‘Densiti za Mifumo ya Matendo ya Unguvu gravitali’; ambavyo katika kila unafsi kuna mfano wa chembe-wimbi inayoshirikisha kizio cha MUONA ni MUONWA iliyo ni “primodiali ”. Hili lafanya muktadha akilifu wa ‘chembe-wimbi’ iliyo primodiali ni jambo la kana chembe iliyondogo ndogo ndogo mno kuelekea u-indefinitamu; yenye kukikimbia kwa kasi ya kiasi cha kuelekea u-infinitamu—kwa kuwa kwake hivi, yawa basi ni kama ipo, daima ipo, pahala pote na kokote wakati wowote…

Kwa mintarafu ya hivi, uchembe husadifu nasibu ya (1) Uduara na (2) Mnururisho na (3) Uinesha; mwendo-wa-kasi-mno kuelekea kote na kuwa mote kunasadifu nasibu ya ‘Maji ya Uzima’; ambavyo ‘asili-uwimbi/Akili-Mananifu’ ndiyo hutengeneza nasibu ya ‘Roho wa Mungu/CHANZO’ katika ‘Vilindi/Uso wa Maji’ wa katika ‘Maji ya Uzima/Maji-Jinesesia’. Hili lafanya nasibu ya kuweza kutumia Uduara, Ubapa na Mnururisho kama Mwanzo wa ‘Nia katika Nguvu na Utukufu’--Nia-Nguvu-Utukufu wenye kufanya yote na vyote.

Ikiwa Ulimwengu wote dhahiri hupata sifa-tabia-hadhi kwa namna ya ‘Kunururika’, namna ya kuzima na kuwaka kunakogeuza uchembe-wimbi kuwa (1) ‘Ugani wa Nguvu’ na (2) ‘Pumzi ya Uzima’ inayohuluku Matungamo yenye Inesha na Mwenendo, basi muktadha akilifu wa (x) ‘Sauti/Utetema/Maneno-Uzima’, na (y) ‘Nuru/Udhamiri-Tamko’, vyawa ni ufunguo kwa yote yaliyofanyika na kuwa jinsi yalivyo.

Kuzima na kuwaka kunakogeuza uchembe-wimbi kuwa Ugani wa Nguvu na Pumzi ndiyo muktadha akilifu wa ‘Puto Ulimwengu’ lenye uwakati; ambavyo Uhamonia Jumuifu ni Densiti ndani ya densiti za Mifumo ya Matendo na Unguvu gravitali/Sumaku – mambo ya ‘Uhamonishi Tuferia’... Hili lafanya kila nasibu ya Puto-Ulimwengu lina Ukinyume-Puto-Ulimwengu (Kiingereza>Universe&Anti-Universe) wake wenye kukadirisha unasibu wa ‘Mielekeo’, ‘Unafasi’, na ‘Uwakati’. Ndivyo yawa, mielekeo yote ni sifa-tabia-hadhi kwa Uinesha na Mienendo kwa kuwa ‘Ugani wa Nguvu’ daima ni uwezekano kulingana na uhasimu—iwe kiuelekeo, upahala na hata ‘Uwakati’.

Kutanyika na Kutofanyika kwa yote na vyote ndiyo muktadha akilifu wa Puto-Ulimwengu na Ukinyume-Puto-Ulimwengu; ambavyo ‘Ugani wa Nguvu na Pumzi’ ni mfano wa Torasi yenye Daivajensia na Konvajensia—Kutoka kwenye kitovu kwenda kuwa Vingi, na hapo hapo kutoka kwenye vingi kurejea katika kitovu. Hili lafanya Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu ni Ukubuishaji wa Fahamu wenye kutatuisha Mtenda, Utendaji na Kumbukumbu Uzoefu ilivyo ‘Muona ni Muonwa’ kwenye Uhamonia Jumuifu wa ‘Puto Ulimwengu’..

Puto-Ulimwengu ni muktadha akilifu wa ‘Ontolojia ya Taasisi’ ambavyo ‘Ugani wa Ushawishi’ kwa kufanyika kwa vyote kuanza na kitovu cha ‘Pumzi ya Uzima’, msukumo daivajensia, wa chochote na vyote; ambavyo fizikia na metafizikia husanisika katika ‘Unukta wa Nishati Usufurishi’. Hili lafanya, Chembe-Wimbi Primodiali ni ‘Unukta wa Nishati Usufurishi’ wa chochote na vyote wenye ‘Kutangamanisha’ namna zote za ‘Utukufu na Nguvu’ na tena ‘Wakati na Ukinyume-Wakati'. Kwa namna hii kila chenye Inesha na Mwenendo na Uelekeo kina muakisiko wake katika Ukinyume-Puto-Ulimwengu.

Mambo ya ‘Uelekeo-Inesha-Mwenendo’ katika (1) ‘Uputo’ na (2) ‘Ukinyume Puto-Ulimwengu’, ndiyo muktadha akilifu wa ‘horizoni tukio’(Kiingereza> Event Horizon) ilivyo ni Tundu Jeupe na Tundu Jeusi(Kiingereza> White Hole & Black Hole); ambavyo dhahiri yote ni USO wa ‘Roho ya Uzima’ kwa ukadirifu wowote wa Uelekeo-Inesha-Mwenendo. Hili lafanya kile ambacho kwenye Unadharifu wa Kifizikia kwa 'Utandu wa Supasha-Wakati' (Kiingereza> Fabric of Space-Time) si chochote bali muktadha akilifu wa ‘Ugani wa Nguvu’ na ‘Pumzi ya Uzima’ wa chochote na Vyote.

Kwa mintarafu ya haya, Uhusiano wa Tundu Jeupe na Tundu Jeusi ni muktadha wa ‘Msalaba Usifinati’ wa ‘Usumaku/Ugravitali’ wenye kutangamanisha ‘Ugani wa Nguvu’ na ‘Uelekeo-Inesha-Mwenendo’ wa ‘Densiti ndani ya densiti za Utungamo za Mifumo ya Utendaji’; ambavyo ‘Puto Ulimwengu’ ni Kizio cha ‘Mwanzo na Mwisho wa Wakati’. Hili lafanya ‘Chembe-Wimbi’ ilivyo ni Kitovu cha ‘Horizoni Tukio’ ndiyo yenye kizio cha Utangamano wa chochote na vyote katika ‘Puto Ulimwengu’--Mambo ya hiyo kuwa basi kote na mote katika madhahiri yote ya ‘Ugani wa Nguvu’ na ‘Utukufu’ : Muona aliye ni Muonwa…

Kiufundi, Muona ni Muonwa katika Ugani wa Nguvu uliyojumuifu kwa Puto Ulimwengu lilivyo ni udaivajensia na ukonvajensia ya chochote na vyote ‘Tundu Jeupe’ kuwa ni ‘tokezeo la Udhahiri’ na ‘Tundu Jeusi’ kuwa ni ‘Zamio la Udhahiri’; ambavyo Kila kinachoweza kukadirisha ni ‘Uchembe’ kinafanyika kwa Uhamonia Jumuifu wa ‘Usumaku/gravitali’ wenye asili (1) Chanya na (2) Hasi, na (3) Unyutrali; kwa nasibu ya ukiasi wa vigezo vya ‘Uelekeo-Inesha-Mwenendo’. Hili lafanya asili khasa ya chochote na vyote ina vizio vya usupasha-wakati vyenye ‘kutodhahirika’ na hali vipo—mambo ya dhana nadharifu kifizikia kuhusiana na supasha-pingifu(Kiingereza>Counter-Space), na ‘Maada Kiza’ (Kiingereza>Dark Matter), na pia Maada-Pingifu (Kiingereza>Anti-Matter).

Kiufundi, ‘Supasha na Maada pingifu’ -- pamoja na ‘Maada kiza’, ni muktadha akilifu wa ‘Uelekeo-Inesha-Mwenendo’ katika zile konstrakti za ‘Ukubuifu wa Fahamu na Mafahamu’; ambavyo Uduara-Mraba-Pembetatu katika sifa-tabia-hadhi ya kujizungurusha huhaisha ‘Ugani wa Nguvu’, ‘Utukufu’ na ‘Ncha za Usumaku / Ugravitali / Upolariti (Kiingereza>Magnetism / Gravitation / Polarization). Hili lafanya Usumaku ama Ugravitali ndiyo asili ya Wakati na Miakisiko yote ya udhahiri ulio ni Densiti katika Densiti zote za Mifumo ya Utendaji.

Kiufundi, Mienendo yote na Uelekeo ni muktadha akilifu wa Ukubu ama Mraba wa ‘Nguvu za Pumzi za Uzima wa Mambo’; ambavyo ‘Mnururisho katika Ujizungurusho’ ndiyo asili ya NIA ilivyo ni ‘Msalaba Usifinati’ wenye kufuma na kusuka chochote na vyote katika Kitovu kimoja cha Uinesha. Hili lafanya Ukitovu kimoja cha Uwakati katika ‘Puto Ulimwengu’ ndiyo muktadha akilifu wa ‘Usingulari’ – mambo ya ‘Ujoto’ na ‘Ubaridi’ wenye kuyakinisha sifa-tabia-hadhi ya ‘Densiti za Mifumo ya Utendaji’ katika Uhamonia Jumuifu wenye kushiriki ‘Horizoni Tukio’…

Basi ndiyo yawa, ‘Jua-Sayari-Utupu’ ni sehemu ya ‘Puto Ulimwengu’ lenye kujumuisha ‘Densiti za Mifumo ya Utendaji’; ambavyo ‘Horizoni Tukio’ ni jambo linalokadirisha ‘Dutu-Moto’ na ‘Dutu-Vumbi’ kwa mfanyiko wa chochote na vyote. Hili lafanya: Iwe Dutu-Moto (Kwa mfano “Jua”) ama Dutu-Vumbi(Kwa mfano “Sayari”) vyote viwili bado ni sehemu ya Uhamonifu Jumuifu wa ‘Puto Ulimwengu’ kwa namna ambavyo Jua kuwa katikati ya Mizunguko ya Sayari ni ‘kitovu’ kwa ‘Msalaba Usifinati’ katika Densiti Ndogo ya Mifumo ya Utendaji katika eneo fulani la ‘Puto Ulimwengu’.

‘Jua-Sayari-Utupu’ ni ‘Vina vya Tafsiri’ katika akili na Uakilifu wa yule mwenye Uono—Uono wenye kufungamana na ‘Umbonishaji’ wa kadiri fulani kwa mapana ya densiti za mifumo ya utendaji; ambavyo daima upo uwezo wa kuona kwa mapana zaidi ama kujifinyia ndani zaidi. Hili lafanya Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu ni uhamonifu wa ‘chembe-wimbi’ primodiali—chembe-wimbi inayoweza kujitangamanisha na ‘Puto Zima la Ulimwengu’ wenye ‘Uwakati’ mmoja na kumbe ikiwa pia uhusiano wa ‘Maputo Mazima ya Alimwengu’ yenye ‘Uwakati’ isivyo idadi...

‘Jua-Sayari-Utupu’ ni ‘Vina vya Tafsiri’ katika akili na Uakilifu wa yule mwenye Uono—Uono wenye kufungamana na ‘Umbonishaji’ wa kadiri fulani kwa mapana ya densiti za mifumo ya utendaji; ambavyo ‘Utupu’ ni muktadha pacha wa ‘chembe-wimbi’ primodiali yenye uwezekano wa daima ‘Horizoni Tukio’ kutendeka. Hili lafanya, utupu tunaoutambua kama ‘Supasha isiyo na Kitu’(Kiingereza>Empty space) ni egemeo kwa ‘Ukitu’--daima upo uwezekano wa ‘Kuzusha Kitu’ kutokea kwenye ‘usivyokitu’ kwa fanusi za utendaji zinazosadifu ‘udutu-moto’ na ‘udutu-vumbi’—Mambo ya uwezekano wa ‘Kutelepoti’ ama pia ‘Kusafiri Kiwakati’…

‘Jua-Sayari-Utupu’ ni ‘Vina vya Tafsiri’ katika akili na Uakilifu wa yule mwenye Uono—Uono wenye kufungamana na ‘Umbonishaji’ wa kadiri fulani kwa mapana ya densiti za mifumo ya utendaji; ambavyo ‘Udutu-Moto’ na ‘Udutu-Vumbi’ ni Utetema katika ‘Bahari ya Maji ya Uzima Wote’--asili ya ‘Jinesesia’ ilivyo ni kufanyika kwa ‘Mbingu’ na Nchi’. Hili lafanya utundu wowote wa kujikadirisha na ‘uweza-nguvu-utukufu’ wa ‘Chembe-Wimbi Primodiali’ ni mwanzo wa kuyamudu yote ya ‘Upahala’, ‘Uwakati’ na ‘Ufinati ama / na Usifinati wa Puto / Maputo Ulimwengu’.

....

Hmmm

 
Hapo ni kama ku loop time nikama umeweka nyimbo repeat

lakini ki uhalisia huwez kwenda mbele ya muda au kurudi nyuma Ukitumia simple logic tu
HAIWEZEKANI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…