“Timing Belt” inatakiwa kubadilishwa baada ya kilometer ngapi au muda gani? Na utajuaje

Ni kweli. Siku hizi nyingi wameweka kwenye "Infortainment system". Ila bahati mbaya tunanunua used zenye lugha tusiyoelewa.

So dawa ni kucheza na mileage tu.
 
Nataka na mm nishushe mileage kabla sijauza Gari langu inagharimu Bei gani? Bila kushusha mileage kuuza Gari nongo utasumbuka sana
hahahaha.....njoo nikushushie na nikusimange kdgo kwa biashara ya ubabaifu
 
Kilometer laki moja na ikianza kuchoka taa ya check engine itakuwa inawaka na kuzima kila baada ya muda fulani
 
Timing belt itakiwa kubadilishwa gari ikifika 100,000 KM, unatakiwa usome pale mbele wanakuandikia ilibadilishwa lini
 
Kwa gari za mjapani hakuna shida hata ikikatika gari itazima tu. Shida ni za mjerumani, ikikatika ukokwenye mwendo itakugharimu kubadili vitu vingi sana.
Vitu vingi sana kama vipi? Tafadhali vitaje kama unavifahamu au nawewe ni wale wa kusikia tu
 
Gari itakuwashia taa ya check engine , inaweza kuwaka na kuzima mara kwa mara.

Kama uko vema gari ukishaagiza badili tu hiyo timing belt mapema ili kuepuka service za kipuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…