Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Una medali halafu haupo kwenye African Footbal League. 😀😀😀😀😀Kwakweli inashangaza sana mkuu....ila. naskia wamewahi kufika fainali ya Abiola ndondo cup....
But medal hawakupewa
Unajisifu umechukua medali za shirikisho wakati kipindi hicho Simba anacheza Champion League.
Huu mfano utaulewa
Kipindi Yanga anacheza fainal za Ueropa League anachukua medali, Simba anacheza UEFA Champion League mpk robo fainal. Hata Yanga ingechukua kombe bado isingefika ubora wa SIMBA kwasababu ipo shirikisho. USM ulger alikuwa nafasi ya ngapi?
Timu kubwa inajisifu imechukua medali za shirikisho? USM Alger utaisemaje?
Timu kubwa zinacheza CAF Champion League na Africal Footbal Club