Timu ambayo haijawahi kufika fainali mashindano yoyote makubwa kujilinganisha na timu yenye medali za CAF

Kwakweli inashangaza sana mkuu....ila. naskia wamewahi kufika fainali ya Abiola ndondo cup....

But medal hawakupewa
Una medali halafu haupo kwenye African Footbal League. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Unajisifu umechukua medali za shirikisho wakati kipindi hicho Simba anacheza Champion League.
Huu mfano utaulewa
Kipindi Yanga anacheza fainal za Ueropa League anachukua medali, Simba anacheza UEFA Champion League mpk robo fainal. Hata Yanga ingechukua kombe bado isingefika ubora wa SIMBA kwasababu ipo shirikisho. USM ulger alikuwa nafasi ya ngapi?
Timu kubwa inajisifu imechukua medali za shirikisho? USM Alger utaisemaje?
Timu kubwa zinacheza CAF Champion League na Africal Footbal Club
 
Aliyekwambia kombe la shirikisho ni mashindano makubwa ni nani, tumuulize manara ?
 
Simba wakikumbuka jinsi walivyoroga uwanjani kwa Orlando pirates na kupigwa faini halafu yanga akatinga final nyongo zinawatibuka kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…