NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Aisee, ili ni kosa kubwa sana kumuuza key player wa timu.Mo pls msimuuze Chama
Ifike mahali tuache ushabiki wa Aina hii, hata sisi tunatamani ifike siku Tanzania tuwe tunaingiza timu zaidi ya moja kwenye hatua Kama hizoTuhakikishe uto anatolewa preliminary stage sasa.
Hili halina afya kwenye soka letu na ni jambo baya sana linapaswa likemewe. Kumbuka kuwa inaweza kutokea Simba akawa na msimu mbaya akakosa ubingwa na FA lakini tukiwa na nafasi nne itakuwa rahisi kushiriki.Tuhakikishe uto anatolewa preliminary stage sasa.
Wapo na kitenge wanataka kwenda CASHahah wanauliza mbona kaizer hayupo
[emoji16]Kwa nini mashabiki wa simba tusianzishe hash tag kua Chama hauzwi uku tumtag MO. Isambae haraka
Jambo la msingi sana km management inalengo Simba idumu kwenye hizo nafasi wale key players wasiuzweKwa nini mashabiki wa simba tusianzishe hash tag kua Chama hauzwi uku tumtag MO. Isambae haraka
Kuna points zinaangaliwa. Sio kwa mwaka mmoja tu. KAIZER haifikii simba ktk champion leagueKaizer chiefs hajafuzu kushiriki michuano ya kimataifa (kashika nafasi ya nane kwenye ligi yao)
Kikubwa hapo ni :-Kwa nini mashabiki wa simba tusianzishe hash tag kua Chama hauzwi uku tumtag MO. Isambae haraka
Hapo ndipo inapokuja utofauti baina mashabiki wa timu na mwekezaji wa timu. Mwekezaji yupo kwaajili ya kutengeneza timu ili apate faida wakati mashabiki wanataka makombe na kufanya vizuri kwenye mashindano.Jambo la msingi sana km management inalengo Simba idumu kwenye hizo nafasi wale key players wasiuzwe
Ufafanuzi zaidi please, cjaelewa mimWataanzia hatua ya kwanza kwa kucheza nyumbani na ugenini.Baada ya apo kama watashinda ni makundi
Kwa nini mashabiki wa simba tusianzishe hash tag kua Chama hauzwi uku tumtag MO. Isambae haraka
Ifike mahali tuache ushabiki wa Aina hii, hata sisi tunatamani ifike siku Tanzania tuwe tunaingiza timu zaidi ya moja kwenye hatua Kama hizo
Utopolo wana dhambi kubwa sana kiasi kwamba hawastahili kuombewa mazuri kwa namna yoyote ile. Kuwapokea wapinzani wa simba airport au kuwaambia wapinzani wa simba kuwa simba huwa inapuliza sumu vyumbani ni dhambi kubwa sana. Ni heri simba isishiriki kimataifa au soka la Tz life kabisa kuliko utopolo kuombewa ifanye vizuri.Hili halina afya kwenye soka letu na ni jambo baya sana linapaswa likemewe. Kumbuka kuwa inaweza kutokea Simba akawa na msimu mbaya akakosa ubingwa na FA lakini tukiwa na nafasi nne itakuwa rahisi kushiriki.
HakikaUtopolo wana dhambi kubwa sana kiasi kwamba hawastahili kuombewa mazuri kwa namna yoyote ile. Kuwapokea wapinzani wa simba airport au kuwaambia wapinzani wa simba kuwa simba huwa inapuliza sumu vyumbani ni dhambi kubwa sana. Ni heri simba isishiriki kimataifa au soka la Tz life kabisa kuliko utopolo kuombewa ifanye vizuri.
Soka la nchi inawezekana kunyanyuliwa na timu moja tu na kwa hapa Tz ni simba au ikitokea nyingine iwe Azam au Namungo lakini sio utopolo. Simba iwe kama Bayern Munchen, Azam au Namungo iwe kama Dortmund na Utopolo iwe kama Mainz au Schalke 04.
Hongereni.Shadeeya
Ukiambiwa Simba sc Tanzania ni timu kubwa African huwa unabisha umeona sasa.[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]