Timu ambazo hazitashiriki hatua ya awali ligi ya mabingwa. Simba miongoni mwa timu 10 zilizoorodheshwa

Timu ambazo hazitashiriki hatua ya awali ligi ya mabingwa. Simba miongoni mwa timu 10 zilizoorodheshwa

Tuhakikishe uto anatolewa preliminary stage sasa.
 
Hongereni wachezaji, benchi la ufundi, bodi ya wakurugenzi kwa kazi nzuri iliyotukukuka mliofanya kwenye CL sasa matunda yameonekana. Angalizo kwenu kufika hapo mlipofika sio tatizo sasa bali tatizo ni kuendelea kuwepo na kwenda juu zaidi.
 
Kwa nini mashabiki wa simba tusianzishe hash tag kua Chama hauzwi uku tumtag MO. Isambae haraka
Jambo la msingi sana km management inalengo Simba idumu kwenye hizo nafasi wale key players wasiuzwe
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kwa nini mashabiki wa simba tusianzishe hash tag kua Chama hauzwi uku tumtag MO. Isambae haraka
Kikubwa hapo ni :-
1. Je mkataba wake unasemaje kuhusiana na iwapo amepata timu itakayomlipa mshahara mkubwa.
2. Je Simba wapo tayari kumlipa kiasi cha mshahara sawa au kuzidi hiyo timu inayotaka kumnunua?
3. Je yeye Chama mwenyewe anasemaje juu ya kubaki Simba?
4. Na iwapo akiamua kununua mkataba wake mwenyewe kama kuna kifungu kinamruhusu je Simba itafaidika zaidi ya ada inayotaka kulipwa na timu inayotaka kumnunua? Hii ni silaha mbaya mchezaji anaweza kuitumia iwapo kwenye mkataba wake kuna kifungu kinachomruhusu kufanya hivyo halafu mkajikuta mnaambulia pesa kiduchu kuliko mngemuuza sokoni.

Unaweza kutumia nguvu nyingi sana kumbakisha mchezaji kwenye timu yako lakini kama mwenyewe alitaka kuondoka ujue atakuwa mzigo msimu mzima akicheza chini ya kiwango n huna la kumfanya. Kwa hiyo hapa hatima ya Chama ipo kwa Chama mwenyewe na wala sio bodi ya Simba, wananchama au mashabiki.
 
Jambo la msingi sana km management inalengo Simba idumu kwenye hizo nafasi wale key players wasiuzwe
Hapo ndipo inapokuja utofauti baina mashabiki wa timu na mwekezaji wa timu. Mwekezaji yupo kwaajili ya kutengeneza timu ili apate faida wakati mashabiki wanataka makombe na kufanya vizuri kwenye mashindano.

Ofa zikija nono kwa wachezaji Mo hawezi kupishana nazo maana mpira ni biashara na moja ya namna ya kufanya biashara ni kuuza wachezaji
 
Shadeeya
Ukiambiwa Simba sc Tanzania ni timu kubwa African huwa unabisha umeona sasa.[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
 
Ifike mahali tuache ushabiki wa Aina hii, hata sisi tunatamani ifike siku Tanzania tuwe tunaingiza timu zaidi ya moja kwenye hatua Kama hizo
Hili halina afya kwenye soka letu na ni jambo baya sana linapaswa likemewe. Kumbuka kuwa inaweza kutokea Simba akawa na msimu mbaya akakosa ubingwa na FA lakini tukiwa na nafasi nne itakuwa rahisi kushiriki.
Utopolo wana dhambi kubwa sana kiasi kwamba hawastahili kuombewa mazuri kwa namna yoyote ile. Kuwapokea wapinzani wa simba airport au kuwaambia wapinzani wa simba kuwa simba huwa inapuliza sumu vyumbani ni dhambi kubwa sana. Ni heri simba isishiriki kimataifa au soka la Tz life kabisa kuliko utopolo kuombewa ifanye vizuri.

Soka la nchi inawezekana kunyanyuliwa na timu moja tu na kwa hapa Tz ni simba au ikitokea nyingine iwe Azam au Namungo lakini sio utopolo. Simba iwe kama Bayern Munchen, Azam au Namungo iwe kama Dortmund na Utopolo iwe kama Mainz au Schalke 04.
 
Hakika
Utapu tapu wana Roho mbaya sana.
Wamebebwa na Simba Club Bingwa Afrika hata kusema asante wameshindwa.
Simba imekuwa Club ya kumi bora barani Afrika hata kupongeza hawataki.
Ila kwa kuwa Wadau wa Simba wana Moyo Mwema tumewasamehe tu.

Shukrani za dhati zimwendee MO na familia yake kwa Uwekezaji wake Simba.
Shukrani za dhati ziwaendee viongozi wote wa Simba kwa umoja na mshikamano wanaouonesha hadi kufikia Mafanikio haya.
Wapenzi wa Simba tuendelee kuwasapoti viongozi wetu na tuendeleze mshikamano wetu wa kuisapoti timu yetu.
Big Up Sana.
 
Shadeeya
Ukiambiwa Simba sc Tanzania ni timu kubwa African huwa unabisha umeona sasa.[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
Hongereni.

Ila Mtani afadhali mupate habari kama hizi walau mufarijike kidogo mana............. teh teh. 😉😉
 
Back
Top Bottom