technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Wakuu niaje.....
Tupi huku Mombasa......Kenya.....
Leo tupo huku Mombasa kwanye shoo ya kihistoria......
Chris brow kutoka Usa amekuja kufanya show ya kihistoria .....
Kikubwa zaid atapanda jukwaa moja na Alikiba ....
Vanessa pia atakuwepo .....
Njooni huku tule bata.......
Timu diamond mjinyonge tu....
Hivi hizo team huwa mnalipwa.....? dah mjini kuna mengiWakuu niaje.....
Tupi huku Mombasa......Kenya.....
Leo tupo huku Mombasa kwanye shoo ya kihistoria......
Chris brow kutoka Usa amekuja kufanya show ya kihistoria .....
Kikubwa zaid atapanda jukwaa moja na Alikiba ....
Vanessa pia atakuwepo .....
Njooni huku tule bata.......
Timu diamond mjinyonge tu....
Sawa mkuu tunashukuru kwa povu lako....
Una taarifa lakin diamond atakua kwenye matamasha sita ya Neyo UK?
Wakuu niaje.....
Tupi huku Mombasa......Kenya.....
Leo tupo huku Mombasa kwanye shoo ya kihistoria......
Chris brow kutoka Usa amekuja kufanya show ya kihistoria .....
Kikubwa zaid atapanda jukwaa moja na Alikiba ....
Vanessa pia atakuwepo .....
Njooni huku tule bata.......
Timu diamond mjinyonge tu....
Kuona kwamba haina tija nasikia vanessa kaipiga chini hiyo show.Wakuu niaje.....
Tupi huku Mombasa......Kenya.....
Leo tupo huku Mombasa kwanye shoo ya kihistoria......
Chris brow kutoka Usa amekuja kufanya show ya kihistoria .....
Kikubwa zaid atapanda jukwaa moja na Alikiba ....
Vanessa pia atakuwepo .....
Njooni huku tule bata.......
Timu diamond mjinyonge tu....
[emoji23] [emoji23] nlijiuliza piaRelax basi, sukari itapanda bureee mwisho ushindwe kushuhudia show...
Uishie kuicheki you tube huku drip mkononi.
So huyo Chris brow ni msanii mpya?
dah bonge la shavuu kinomanoma the Kingkibaa ndiyoo mfalume wao
Nyie watu mna kelele aisee,hivi huyo kiba akifika level za DIAMOND humu ndani si hakutakalika.......??Hahahahaa who is neyo? Muda wake umeshaisha mzee neyo ni sawa na inspekta haroon hapa bongo.
Chris Brown ndiyo habari ya mjini kwa sasa
Usiishie hapo mkuu diamond kaanza mziki juzi tu ila kamzidi uyo babu jinga kwa Mengi Msimpambanishe diamond na mizee iyo ilisha fua kuona dogo kawakamata wanafia kiki kwa kutelezea nyota ya madale ushamba mzigo sana uyo chrisbrown wanafanya collabo au? ataishia ya one eight na r.kelly bila diamond hakuna kibakuli over.Nyie watu mna kelele aisee,hivi huyo kiba akifika level za DIAMOND humu ndani si hakutakalika.......??
1.Kazidiwa pesa na DIAMOND.
2.Kazidiwa tuzo na DIAMOND.
3.Kazidiwa shoo na DIAMOND.
4.DIAMOND ana lebel kiba hana.
5.DIAMOND ana bendi kiba hana.
6.DIAMOND ana mijengo kiba yupo kwa maza.
7.DIAMOND anayo recording studio kiba hana.
8.DIAMOND ana wasanii wenye levo za kiba.
9.DIAMOND anapiga gittah,kiba hawezi chombo chochote cha muziki.