BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
[emoji16][emoji23][emoji23]Sawa mkuu tunashukuru kwa povu lako....
Una taarifa lakin diamond atakua kwenye matamasha sita ya Neyo UK?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji23][emoji23]Sawa mkuu tunashukuru kwa povu lako....
Una taarifa lakin diamond atakua kwenye matamasha sita ya Neyo UK?
Ulishawah kupiga hesabu ya level ya utaahira ulionao ni kias gan? Badala ya kuhangaika na maisha yaako umekomaa na maisha ya wanaume wenzako **** you
Nyie mashabiki maandazi ndio mmesababisha kibakuli asifike mbali,badala akomae kujenga brand kama mwenzake alivyofanya kwa WCB,nyie mnaona ufahari kuperfom stage moja na msanii mkubwa
Mkubwa Fela kamfanyia fitna Ali Kiba ili asiperform vizuri kwenye tamasha la Mombasa. Inasikitisha kwa kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkubwa Fela kamfanyia fitna Ali Kiba ili asiperform vizuri kwenye tamasha la Mombasa. Inasikitisha kwa kweli.
[emoji443]Wanajenga majunguu tunajenga vibanda raaaaaaah![emoji443]Mbona alishaimba na Rkelly Kabisa ila kiko wapi? Sembuse hiyo Chris?
Tatizo sio anafanya kazi na nani? Tatizo ni strategies tu! Hana mpango Mkakati wowote zaidi ya kujishindanisha na mtu ambaye hata hana time nae.
Yeye aendelee kufocus tu kumshinda Diamond.. Mwanzake anafocus kuunyanyua mziki wetu kimataifa na kuwasaidia vijana wenzake wenye vipaji wanufaike na mziki.
Ukitaka kuamini haya niyasemayo ona hata aliwaambia mashabiki wake wampigie kura Kiba apate tuzo heshima ice Tanzania kitu ambacho Kiba asingeweza kuwambia mashabiki wake wampigie Diamond.
Kwanza Kiba mwenyewe amejaa dharau na majivuno as if yeye ndie mwanzilishi wa mziki duniani.