Timu Diamond mjinyonge, Alikiba jukwaa moja na Chris Brown

Timu Diamond mjinyonge, Alikiba jukwaa moja na Chris Brown

Mkubwa Fela kamfanyia fitna Ali Kiba ili asiperform vizuri kwenye tamasha la Mombasa. Inasikitisha kwa kweli.
 
Nyie mashabiki maandazi ndio mmesababisha kibakuli asifike mbali,badala akomae kujenga brand kama mwenzake alivyofanya kwa WCB,nyie mnaona ufahari kuperfom stage moja na msanii mkubwa

Kama mtu anavyoshangilia kushikana mkono na Rais!
 
Mbona alishaimba na Rkelly Kabisa ila kiko wapi? Sembuse hiyo Chris?

Tatizo sio anafanya kazi na nani? Tatizo ni strategies tu! Hana mpango Mkakati wowote zaidi ya kujishindanisha na mtu ambaye hata hana time nae.

Yeye aendelee kufocus tu kumshinda Diamond.. Mwanzake anafocus kuunyanyua mziki wetu kimataifa na kuwasaidia vijana wenzake wenye vipaji wanufaike na mziki.

Ukitaka kuamini haya niyasemayo ona hata aliwaambia mashabiki wake wampigie kura Kiba apate tuzo heshima ice Tanzania kitu ambacho Kiba asingeweza kuwambia mashabiki wake wampigie Diamond.

Kwanza Kiba mwenyewe amejaa dharau na majivuno as if yeye ndie mwanzilishi wa mziki duniani.
[emoji443]Wanajenga majunguu tunajenga vibanda raaaaaaah![emoji443]
 
Back
Top Bottom