Timu Gani Itapewa Nafasi ya Uingereza Baada ya Kujitoa Euro?

Timu Gani Itapewa Nafasi ya Uingereza Baada ya Kujitoa Euro?

Jamani tuwe tunajiongeza kidogo kwenye mambo ya kimataifa...mtoa mada unatuaibisha sana tena unaita mada chokonozi?
 
Haaaa, we jamaa wewe da! Euro ni michuano ya soka mataifa yote ya Ulaya yaliyofuzu. Jumuiya ya Ulaya ni kama AU ya Africa au Afrika Mashariki.
Upo sahihi, mfano CECAFA inajumuisha nchi zote za East African Community + Somalia, Sudan, Eritrea na Ethiopia ambazo hazipo ndani EAC (Rwanda, Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na Southern Sudan).
 
Jamani tuwe tunajiongeza kidogo kwenye mambo ya kimataifa...mtoa mada unatuaibisha sana tena unaita mada chokonozi?
HUENDA Hujatembea na huu uzi ungebadili wazo
 
Baada ya Waingereza Kupiga Kura ya Kujitoa Euro na huku wamefuza 16 BORA nawasiliasha mada hii chokonozi
TFF wamemepeleka barua wajiunge UEFA maana uku Africa hamna ushindan tusuburie majibu inawezekana Tz tukapata iyo nafac [emoji12]
 
Kujitoa kwake haihusiani na uefa euro,, isipokua misaada hatopata tena, na wala UN haitoingilia shughuli zake za ndani, kama vile maswala ya kijeshi ama chochote kile kinachohusiana na UN.

Hivyo UN haitomlazimisha kufanya kitu! Ila kwa ridhaa yake mwenyewe.
 
Waipe nafasi Harambee stars ya Kenya na coalition of willing yao🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂

Waziri wa Elimu na Michezo wa Uganda Janeth Museveni amesema nchi yake iyachukua nafasi ya Uingereza baada ya BREXIT
 
Amavubi swali lako ni la Kisomi zaidi ndiyo maaana unaona Vilaz wengi wameishia kutoa kejeli na matusi. Hop mdau kakupa jibu hapo linganisha Morocm na CAF
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan we jamaa umeniacha hoi na hilo swali
 
Timu ya taifa ya UINGEREZA itaendelea kushiriki Euro?.
 
Timu ya taifa ya UINGEREZA itaendelea kushiriki Euro?.
Itaendelea kushiriki2 kwakuwa "wamejtoa kwenye umoja wa ulaya hawajajtoa bara la ulaya" kwakuwa UEFA ni shirikisho la soka barani ulaya na halina uhusiano wwte na political issues za europe basi wingereza kama nch pamoja na vlabu vyake vtaendlea kushrk mashindano yte yanayoandaliwa na UEFA n sawa na Tanzania kujitoa AU bado timu ya taifa pamoja na vilabu vya hpa vtaendlea kushirk mashndano yte yanayoandaliwa na CAF.
 
Back
Top Bottom