Timu gani ya mpira unaichukia sana? Na kwa nini?

Ladder 49

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
7,918
Reaction score
20,037
Wakuu habari zenu.

Hivi kuna timu gani za mpira za hapa ndani za nje ya nchi yako unapendaga sana ziwe zinafungwa kila siku na kwanini?

Me kwa upande wangu timu kama Manchester united hiyo timu ikifungwa nashangilia kabisa nainuka kwenye kiti,maana kwenye mitadao yote wakishinda wanakuwa wanasifiwa kupitikiza yaani hata kama nikidogo tu record zao zote siku hiyo zitatafutwa tu zipostiwe.mpaka unashangaa hivi mbona timu fulani ilifanya kama hivi mbona aikusifiwa.kwenye mitandao wanaku wengi.mwisho wa siku kumbe timu yao ni ya kawaida wakianza kufungwa wanalala mikia kocha na wachezaji,wakishinda wanasahu kama timu yao ni ovyo kupitiliza.
 
Naichukia Arsenal kwa roho yangu yote na siipendi Yanga kwa nguvu zangu zote.
 

Yanga FC
Manchester United
Arsenal FC
Chelsea FC
Real Madrid

Sababu kubwa ya kuwachukia Kunakotukuka ni kwamba Wachezaji wao wengi wana ' vimelea ' vya Umagomeni Mapipa kwa Macheni.
 
Reactions: PNC
Barcelona & yanga & Toto African, upande wa makocha simpendi Conte japo naishabikia Chelsea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…