Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAMA UMEAMUA KUWASEMA YANGA WASEME WAZIWAZI SIO KUJIFICHA KWA MGONGO WA MAN U.ha ha ha haWakuu habari zenu.
Hivi kuna timu gani za mpira za hapa ndani za nje ya nchi yako unapendaga sana ziwe zinafungwa kila siku na kwanini?
Me kwa upande wangu timu kama Manchester united hiyo timu ikifungwa nashangilia kabisa nainuka kwenye kiti,maana kwenye mitadao yote wakishinda wanakuwa wanasifiwa kupitikiza yaani hata kama nikidogo tu record zao zote siku hiyo zitatafutwa tu zipostiwe.mpaka unashangaa hivi mbona timu fulani ilifanya kama hivi mbona aikusifiwa.kwenye mitandao wanaku wengi.mwisho wa siku kumbe timu yao ni ya kawaida wakianza kufungwa wanalala mikia kocha na wachezaji,wakishinda wanasahu kama timu yao ni ovyo kupitiliza.
Hater ni mtu mwenye chuki.sawa,basi wewe ni hater....hater ni yule ambae anamchukia mtu bila sababu au pengine kutokana na maendeleo aliyonayo huyo anayemchukia
Achana nae kama hajui barca kuna ubaguzi atajuaje ital kuna ubaguzi.Naona wew ni mfia team. Huwezi kuelewa.
Barca utawala wao umeisha sasa utakuwa na amani
Achana nae kama hajui barca kuna ubaguzi atajuaje ital kuna ubaguzi.
Wa rangi wa kutupianaga ndizi .Ubaguzi gani?
Wa rangi wa kutupianaga ndizi .