Timu gani ya mpira unaichukia sana? Na kwa nini?

Timu gani ya mpira unaichukia sana? Na kwa nini?

Mimi ni mshabiki wa Mancity, ila timu yangu ikicheza na Man u, mashabiki wa Chelsea wanakuwa kwangu, na nikicheza na Chelsea, mashabiki wa man u wanakuwa wananisaporti. vivyohivyo nikicheza na arsenal, utasikia mashabiki wa Chelsea na man u wakisema ; Piga hao mbwa piga kabisa huyo wenga. yaani sijui sasa mm niichukie timu gani hapo.

Man city akiwa anataka kucheza na Man U , utasikia mashabiki wa Chelsea wakiwaambia mashabiki wa Man u, : leo mnaipata habari yenu leo;
Hahahaa
 
Niliyoipa win....... Halafu ikaleta mambo ya ajabu.. Sitaipenda.
 
Nawapenda sana Leicester city,locomotive Moscow na sparta Prague,deportivo la coruna,yanga,siyapendi man u,arsenal,liver
 
Siipendi, siipendi, siipendi, narudia tena SIIPENDI SIMBA AKA mikia, mbumbu, paka, makolo n.k
Nje siipendi MAN U...
 
Wakuu habari zenu.

Hivi kuna timu gani za mpira za hapa ndani za nje ya nchi yako unapendaga sana ziwe zinafungwa kila siku na kwanini?

Me kwa upande wangu timu kama Manchester united hiyo timu ikifungwa nashangilia kabisa nainuka kwenye kiti,maana kwenye mitadao yote wakishinda wanakuwa wanasifiwa kupitikiza yaani hata kama nikidogo tu record zao zote siku hiyo zitatafutwa tu zipostiwe.mpaka unashangaa hivi mbona timu fulani ilifanya kama hivi mbona aikusifiwa.kwenye mitandao wanaku wengi.mwisho wa siku kumbe timu yao ni ya kawaida wakianza kufungwa wanalala mikia kocha na wachezaji,wakishinda wanasahu kama timu yao ni ovyo kupitiliza.
Mimi Yanga lakini Man U na Simba , ntashangilia Simba
 
Back
Top Bottom