Tyrone mofekeng
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 694
- 610
Ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbao united ndo kiboko yao!!
Siipendi kabisa barcelona
Na wala sina sababu yoyote ila ila siipendi tu.
HahahaaMimi ni mshabiki wa Mancity, ila timu yangu ikicheza na Man u, mashabiki wa Chelsea wanakuwa kwangu, na nikicheza na Chelsea, mashabiki wa man u wanakuwa wananisaporti. vivyohivyo nikicheza na arsenal, utasikia mashabiki wa Chelsea na man u wakisema ; Piga hao mbwa piga kabisa huyo wenga. yaani sijui sasa mm niichukie timu gani hapo.
Man city akiwa anataka kucheza na Man U , utasikia mashabiki wa Chelsea wakiwaambia mashabiki wa Man u, : leo mnaipata habari yenu leo;
We unapenda redeMan city, Barcelona, yanga
HahaaMadrid pamoja na mashabiki wake wote pamoja na ronaldo kwanza wamesha nichaniaga mikeka kama 10 hivi
Sipendi kolo na yeboyebo...matimu yamekuwepo miaka nenda rudi hayana hata kiwanja cha mpira[emoji40][emoji40]
Sent from my SM-T555 using JamiiForums mobile app
Mimi Yanga lakini Man U na Simba , ntashangilia SimbaWakuu habari zenu.
Hivi kuna timu gani za mpira za hapa ndani za nje ya nchi yako unapendaga sana ziwe zinafungwa kila siku na kwanini?
Me kwa upande wangu timu kama Manchester united hiyo timu ikifungwa nashangilia kabisa nainuka kwenye kiti,maana kwenye mitadao yote wakishinda wanakuwa wanasifiwa kupitikiza yaani hata kama nikidogo tu record zao zote siku hiyo zitatafutwa tu zipostiwe.mpaka unashangaa hivi mbona timu fulani ilifanya kama hivi mbona aikusifiwa.kwenye mitandao wanaku wengi.mwisho wa siku kumbe timu yao ni ya kawaida wakianza kufungwa wanalala mikia kocha na wachezaji,wakishinda wanasahu kama timu yao ni ovyo kupitiliza.