Wakuu habari zenu.
Hivi kuna timu gani za mpira za hapa ndani za nje ya nchi yako unapendaga sana ziwe zinafungwa kila siku na kwanini?
Me kwa upande wangu timu kama Manchester united hiyo timu ikifungwa nashangilia kabisa nainuka kwenye kiti,maana kwenye mitadao yote wakishinda wanakuwa wanasifiwa kupitikiza yaani hata kama nikidogo tu record zao zote siku hiyo zitatafutwa tu zipostiwe.mpaka unashangaa hivi mbona timu fulani ilifanya kama hivi mbona aikusifiwa.kwenye mitandao wanaku wengi.mwisho wa siku kumbe timu yao ni ya kawaida wakianza kufungwa wanalala mikia kocha na wachezaji,wakishinda wanasahu kama timu yao ni ovyo kupitiliza.