Kule utopolo wenye akili ni wawili tu labda tupime hao kama bado zipoKuna haja ya JF kupima watu akili kabla ya kuwaruhusu kuwa member
Hatuwezi kupoteza Muda kupima ugonjwa unaojulikana.Kuna haja ya JF kupima watu akili kabla ya kuwaruhusu kuwa member
Huku kuna watafuta Likes, Mtu anaweza kuanzisha Uzi utadhani yuko kindergarten kumbe ana watu 7 wanamuita Baba.Siku izi jf imekua kama facebook au instagram[emoji3064].
Watu hawa discuss issues tena kama hapo zamani.
Ohh!! God forbid.[emoji18]
Bichwa kubwaaa akili kisoda, Rage aheshimiwe yule mzee aliona mbaliYale mabilioni yaliyobebwa kwenye viroba yanavyotumika,fitna zinazofanywa,lakini bado asilimia 60 ya wanachama wenu ni waganga wa kienyeji..na hamtoboi kimataifa,huu tunaweza kuuita uwendawazimu.
Ni bora mngewekeza kwenye tasnia ya filamu ( bongo muvi) ili hizi series zenu ziangaliwe na watu wengi.
Nimeona mchambuzi wa kimataifa wa Ghana akishangaa kuhusu ile penalty lakini tulimwambia hiyo ni soka la propaganda na waasisi wake wanapenda sifa za kijinga.
Mkitaka kufanikiwa wekezeni kwenye soka acheni ubabaishaji
kuna mmoja kati ya hao wawili tayari kawa kibwengoKule utopolo wenye akili ni wawili tu labda tupime hao kama bado zipo
Inasikitisha sana mkuu.Huku kuna watafuta Likes, Mtu anaweza kuanzisha Uzi utadhani yuko kindergarten kumbe ana watu 7 wanamuita Baba.
Inaonekana nimepiga penyewe naona mnazidi kutoka kichakani tu.Bichwa kubwaaa akili kisoda, Rage aheshimiwe yule mzee aliona mbali
Utopolo mnaumia nini kusikia habari hizo?Huna akili kabisa Au Una chembechembe Za ushoga?! Humu jamii forum hatutaki habari Za vijiweni weka mada zenye vithibitisho
Unaweza kuta baba yako yuko FB na mama yako insta kwa vike unawadharau ndiyo maana unadharau na hizo appSiku izi jf imekua kama facebook au instagram[emoji3064].
Watu hawa discuss issues tena kama hapo zamani.
Ohh!! God forbid.[emoji18]
Kuna haja ya JF kupima watu akili kabla ya kuwaruhusu kuwa member
Yale mabilioni yaliyobebwa kwenye viroba yanavyotumika,fitna zinazofanywa,lakini bado asilimia 60 ya wanachama wenu ni waganga wa kienyeji..na hamtoboi kimataifa,huu tunaweza kuuita uwendawazimu.
Ni bora mngewekeza kwenye tasnia ya filamu ( bongo muvi) ili hizi series zenu ziangaliwe na watu wengi.
Nimeona mchambuzi wa kimataifa wa Ghana akishangaa kuhusu ile penalty lakini tulimwambia hiyo ni soka la propaganda na waasisi wake wanapenda sifa za kijinga.
Mkitaka kufanikiwa wekezeni kwenye soka acheni ubabaishaji
Nani hajapata mgao ili tumalizane aache kupiga kelele. View attachment 2402194