Timu ina waganga wengi wa kienyeji kuliko mashabiki lakini kimataifa bado wanaota

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Yale mabilioni yaliyobebwa kwenye viroba yanavyotumika,fitna zinazofanywa,lakini bado asilimia 60 ya wanachama wenu ni waganga wa kienyeji..na hamtoboi kimataifa,huu tunaweza kuuita uwendawazimu.

Ni bora mngewekeza kwenye tasnia ya filamu ( bongo muvi) ili hizi series zenu ziangaliwe na watu wengi.

Nimeona mchambuzi wa kimataifa wa Ghana akishangaa kuhusu ile penalty lakini tulimwambia hiyo ni soka la propaganda na waasisi wake wanapenda sifa za kijinga.
Mkitaka kufanikiwa wekezeni kwenye soka acheni ubabaishaji
 
Makolo
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    32.4 KB · Views: 3
Mlete mgunda
 
Attachments

  • Screenshot_20221029-204516.png
    Screenshot_20221029-204516.png
    19 KB · Views: 2
Siku izi jf imekua kama facebook au instagram[emoji3064].

Watu hawa discuss issues tena kama hapo zamani.

Ohh!! God forbid.[emoji18]
 
Huku kuna watafuta Likes, Mtu anaweza kuanzisha Uzi utadhani yuko kindergarten kumbe ana watu 7 wanamuita Baba.
 
Yale mabilioni yaliyobebwa kwenye viroba yanavyotumika,fitna zinazofanywa,lakini bado asilimia 60 ya wanachama wenu ni waganga wa kienyeji..na hamtoboi kimataifa,huu tunaweza kuuita uwendawazimu.

Ni bora mngewekeza kwenye tasnia ya filamu ( bongo muvi) ili hizi series zenu ziangaliwe na watu wengi.

Nimeona mchambuzi wa kimataifa wa Ghana akishangaa kuhusu ile penalty lakini tulimwambia hiyo ni soka la propaganda na waasisi wake wanapenda sifa za kijinga.
Mkitaka kufanikiwa wekezeni kwenye soka acheni ubabaishaji
Bichwa kubwaaa akili kisoda, Rage aheshimiwe yule mzee aliona mbali
 
Huna akili kabisa Au Una chembechembe Za ushoga?! Humu jamii forum hatutaki habari Za vijiweni weka mada zenye vithibitisho
 
Utopolo mnaumia nini kusikia habari hizo?
Akili yako inaongea vitu unavyofanyiwa na wajomba zako kwa hiyo unadhani kila mtu yuko kama wewe
 
Siku izi jf imekua kama facebook au instagram[emoji3064].

Watu hawa discuss issues tena kama hapo zamani.

Ohh!! God forbid.[emoji18]
Unaweza kuta baba yako yuko FB na mama yako insta kwa vike unawadharau ndiyo maana unadharau na hizo app
 
Back
Top Bottom