Yale mabilioni yaliyobebwa kwenye viroba yanavyotumika,fitna zinazofanywa,lakini bado asilimia 60 ya wanachama wenu ni waganga wa kienyeji..na hamtoboi kimataifa,huu tunaweza kuuita uwendawazimu.
Ni bora mngewekeza kwenye tasnia ya filamu ( bongo muvi) ili hizi series zenu ziangaliwe na watu wengi.
Nimeona mchambuzi wa kimataifa wa Ghana akishangaa kuhusu ile penalty lakini tulimwambia hiyo ni soka la propaganda na waasisi wake wanapenda sifa za kijinga.
Mkitaka kufanikiwa wekezeni kwenye soka acheni ubabaishaji