Timu inashinda bao 7 na mpira mwingi sana, ya nini kutafuta Kocha mpya wa kumrithi Mgunda?

Ushindi mzito wa Simba jana umewaumiza roho sana.
 
Mechi na Geita gold walikua wangapi kiwanjani? Acha wivu nguruwe wewe
 
Watamleta kocha mpya kwa sababu Mgunda ni Mtanzania. Ila mpaka sasa ninachokiona inatakiwa Mgunda aongezewe wachezaji
 
Na mlivyopigwa goli 5 hapo taifa nani alipewa kadi nyekundu hebu tutolee ufwala wako huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kama umeumia saga chupa unywe topolo weeeee
 
Watamleta kocha mpya kwa sababu Mgunda ni Mtanzania. Ila mpaka sasa ninachokiona inatakiwa Mgunda aongezewe wachezaji
Simba kumleta kocha mpya, siyo jambo la kushtua. Maana mpaka sasa ni mwezi wa ngapi sijui huu, timu haina kocha wa kudumu!

Juma Mgunda tangu siku ya kwanza, alitambulishwa kama kocha wa muda (deiwaka), baada ya kocha wa wakati huo (Zoran wa Mlete Mzungu), kubwaga manyanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…