Vawulence
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 1,930
- 2,118
Hebu bwana mkubwa tukumbushe ni lini kwenye Ligi kuu tumefungwa goli zaidi ya 3? Tafuta takwimu hata za miaka 50 nyuma. Na kama unaongelea Klabu bingwa uje na takwimu kama hizi.Wewe je hukula goal tano mara mbili bila kadi