Timu inashinda bao 7 na mpira mwingi sana, ya nini kutafuta Kocha mpya wa kumrithi Mgunda?

Timu inashinda bao 7 na mpira mwingi sana, ya nini kutafuta Kocha mpya wa kumrithi Mgunda?

Wewe je hukula goal tano mara mbili bila kadi
Hebu bwana mkubwa tukumbushe ni lini kwenye Ligi kuu tumefungwa goli zaidi ya 3? Tafuta takwimu hata za miaka 50 nyuma. Na kama unaongelea Klabu bingwa uje na takwimu kama hizi.
 
Attachments

  • 20221212_204026.jpg
    20221212_204026.jpg
    35.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom