Timu itakayo shangaza watu EPL 2019/2020...

Mbona hata wewe unapiga ramli. Zungumza baada ya timu kukutana.
 
Niko pamoja na wewe.


Binafsi nina uhakika na timu yangu kuwa itafanya vizuri msimu huu. Hakika hawato amini.

Huwa hatubembelezi mchezaji ukitaka kusepa wewe sepa. Wala hakuna atayekupigia magoti eti uwe kama Mungu pale chelsea.
 
Mimi ni shabiki kindakindaki wa Chelsea lakini nikiweka ushabiki pembeni msimu huu tukiambulia hata nafasi ya sita tushiriki Europa 2020/2021 basi bahati itakuwa upande wetu
 
Gunners at least tumetibu ugonjwa wetu,hope tutakuwa washindani this season
 
Mimi ni shabiki kindakindaki wa Chelsea lakini nikiweka ushabiki pembeni msimu huu tukiambulia hata nafasi ya sita tushiriki Europa 2020/2021 basi bahati itakuwa upande wetu
Wewe sio fan wa chelsea utakuwa ni MAMLUKI ..ukiwa fan wa Club kama Chelsea, utakiwi kuwa nizamu ya uwoga..
 
Maneno ya kujifariji haya pale EPL timu kama Man Utd,Chelsea bado zina safari ndefu sana kutwaa ubingwa
 
Abraham Hana tofauti na Adam salamba
 
kuna habari gani tena?
 
Kila nikiichungulia hii mech naziona 3+ ,najitahid labda Chelsea atapigwa 2-0 , roho inaniambia kuna 3+

Ngoja tusubiri
Nilisema kila nikichungulia naziona 3+ ,kila nikichungulia labda kuna 2-0 roho inagoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…