Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tomori ilikuwa aende Everton kwa mkopo, Luiz alipozingua last minute akabaki nyumbani.Iv tomori kaenda team gn

Mbona hata wewe unapiga ramli. Zungumza baada ya timu kukutana.Endelea kupiga ramli na kujipa moyo
Kwa kikosi cha sasa cha Chelsea huwez kupambana hata na Watford mwenye midfield Kali , na winger Isamail sarr na double forward deney na welbek
Chelsea ana forward butu kuliko Everton wenye IWOBI-RICHARLSON- KEAN
sasa endelea kujidanganya ,ikiwa kwenye preseason hiyo beki ilikuwa inaruhusu magoli hadi matatu kwa mechi
Mwisho Chelsea ina kipa ambaye bado hana uzoefu ,natabiri msimu huu Chelsea kumaliza nafasi ya 7-10
Gunners at least tumetibu ugonjwa wetu,hope tutakuwa washindani this seasonYapo maneno mengi kuwa Chelsea ni dhaifu msimu huu kuliko timu nyingi za EPL, hii imetokana na vitu vitatu ambavyo me naona havina mashiko...
kitu cha kwanza,, kuzuiwa kusajili, hapa tukumbuku Chelsea ilikua tayar imeshamsajili Pulisic ambayo naona kwa 90% atakua mbadala wa Eden,,
Jambo la pili nikuondoka kwa wachezaji muhimu,, kuondoka kwa hazard kwel ni pengo lakini ujio wa Pulisic imezima dhana hii na kupunguza pengo amabalo kimsingi lingeonekana... kwa upande wa Luiz sioni hata lengo lake, na mwenyewe aliondoka baada ya kuona nafasi yake itakua ndogo baada ya kijana Zouma kulejea Stamford...
Jambo LA tatu, ni Frankie Lampard kuambiwa hana uzoefu,, jamani Uwezo ni muhimu kuliko uzoefu ndo maana zidanw aliweza kufanikiwa na Madrid huku akiwa hana uzoefu...
Beki ya Chelsea itaundwa na Azi, Christensen, Emerson, Rudiger, Zouma, Alonso, Zapacosta pamoja na kijana mdgo James.. hapa kwa mfumo wa beki wanne namuona Rudiger na zouma katikati huku pembeni akicheza Azip na Emerson/ Alonso,, Hebu nambie yupo hata uzoefu hapo? au yupi ni beki dhaifu??
katikati hapa ndo pamenoga zaid,, kuna Kante nadhani hahitaji maneno mengi kumuelezea, yupo Joginho, Mateo, Barkery, Bakayoko na Monson mont.. hapa kwenye first eleven ni Kante, Joginho na barker/ Mateo sijui unataka combination gana zaid ya hii... wakati Kante anasaidia defence, Joginho anatulipa katikati huku Barkery akianzisha mashambulizi...
Hapa mbele yupo William, Pedro, tarented Culum Hudson Odoi (CHO), Roben loftus Cheek, yupo Pulisic ( Captain America) yupo Batman ( New Drogba ) na Olivier Giroud.. Sasa hebu nasiidie mwenyewe kuchagua mwenyewe watatu wa kuanza hapa... Ila kumbuka Captain America wanaweza cheza kama central striker..
Nimesahau kipa eeeh,,, hapa yupo Spain number one,, Keppa arrinini sijui,,, huyu mtoto anaenda kuchukua namba vya De gea pale Spain believe me...
Lampard hana uzoefu?? amecheza final ya play off unataka... hebu nikumbushe wakati zedane anaichukua Madrid alitokea timu gani iliyokua inashiliki LA liga au alitokea EPL ??
Chelsea isibezwe, bado ni timu bora EPL
Wewe sio fan wa chelsea utakuwa ni MAMLUKI ..ukiwa fan wa Club kama Chelsea, utakiwi kuwa nizamu ya uwoga..Mimi ni shabiki kindakindaki wa Chelsea lakini nikiweka ushabiki pembeni msimu huu tukiambulia hata nafasi ya sita tushiriki Europa 2020/2021 basi bahati itakuwa upande wetu
Yapo maneno mengi kuwa Chelsea ni dhaifu msimu huu kuliko timu nyingi za EPL, hii imetokana na vitu vitatu ambavyo me naona havina mashiko...
kitu cha kwanza,, kuzuiwa kusajili, hapa tukumbuku Chelsea ilikua tayar imeshamsajili Pulisic ambayo naona kwa 90% atakua mbadala wa Eden,,
Jambo la pili nikuondoka kwa wachezaji muhimu,, kuondoka kwa hazard kwel ni pengo lakini ujio wa Pulisic imezima dhana hii na kupunguza pengo amabalo kimsingi lingeonekana... kwa upande wa Luiz sioni hata lengo lake, na mwenyewe aliondoka baada ya kuona nafasi yake itakua ndogo baada ya kijana Zouma kulejea Stamford...
Jambo LA tatu, ni Frankie Lampard kuambiwa hana uzoefu,, jamani Uwezo ni muhimu kuliko uzoefu ndo maana zidanw aliweza kufanikiwa na Madrid huku akiwa hana uzoefu...
Beki ya Chelsea itaundwa na Azi, Christensen, Emerson, Rudiger, Zouma, Alonso, Zapacosta pamoja na kijana mdgo James.. hapa kwa mfumo wa beki wanne namuona Rudiger na zouma katikati huku pembeni akicheza Azip na Emerson/ Alonso,, Hebu nambie yupo hata uzoefu hapo? au yupi ni beki dhaifu??
katikati hapa ndo pamenoga zaid,, kuna Kante nadhani hahitaji maneno mengi kumuelezea, yupo Joginho, Mateo, Barkery, Bakayoko na Monson mont.. hapa kwenye first eleven ni Kante, Joginho na barker/ Mateo sijui unataka combination gana zaid ya hii... wakati Kante anasaidia defence, Joginho anatulipa katikati huku Barkery akianzisha mashambulizi...
Hapa mbele yupo William, Pedro, tarented Culum Hudson Odoi (CHO), Roben loftus Cheek, yupo Pulisic ( Captain America) yupo Batman ( New Drogba ) na Olivier Giroud.. Sasa hebu nasiidie mwenyewe kuchagua mwenyewe watatu wa kuanza hapa... Ila kumbuka Captain America wanaweza cheza kama central striker..
Nimesahau kipa eeeh,,, hapa yupo Spain number one,, Keppa arrinini sijui,,, huyu mtoto anaenda kuchukua namba vya De gea pale Spain believe me...
Lampard hana uzoefu?? amecheza final ya play off unataka... hebu nikumbushe wakati zedane anaichukua Madrid alitokea timu gani iliyokua inashiliki LA liga au alitokea EPL ??
Chelsea isibezwe, bado ni timu bora EPL
Abraham Hana tofauti na Adam salambaHapo beki kuna dogo anaitwa Tomori. Ilikuwa aende Everton kwa mkopo, Luiz alipoondoka akazuiwa abaki. Alikuwa Derby na Mason Mount. Lampard anamuaminia sana. Mbele jersey namba 9 ni dogo Tammy Abraham. Lampard akiwaamini akawatupa uwanjani jituma yao itakuwa balaa. Kila mtu anataka aoneshe makeke. Acha wajiaminishe kuwa Chelsea atapotea....ila wajue miaka 3 haipitagi Chelsea hajachukua kombe [emoji851]
kuna habari gani tena?Yapo maneno mengi kuwa Chelsea ni dhaifu msimu huu kuliko timu nyingi za EPL, hii imetokana na vitu vitatu ambavyo me naona havina mashiko...
kitu cha kwanza,, kuzuiwa kusajili, hapa tukumbuku Chelsea ilikua tayar imeshamsajili Pulisic ambayo naona kwa 90% atakua mbadala wa Eden,,
Jambo la pili nikuondoka kwa wachezaji muhimu,, kuondoka kwa hazard kwel ni pengo lakini ujio wa Pulisic imezima dhana hii na kupunguza pengo amabalo kimsingi lingeonekana... kwa upande wa Luiz sioni hata lengo lake, na mwenyewe aliondoka baada ya kuona nafasi yake itakua ndogo baada ya kijana Zouma kulejea Stamford...
Jambo LA tatu, ni Frankie Lampard kuambiwa hana uzoefu,, jamani Uwezo ni muhimu kuliko uzoefu ndo maana zidanw aliweza kufanikiwa na Madrid huku akiwa hana uzoefu...
Beki ya Chelsea itaundwa na Azi, Christensen, Emerson, Rudiger, Zouma, Alonso, Zapacosta pamoja na kijana mdgo James.. hapa kwa mfumo wa beki wanne namuona Rudiger na zouma katikati huku pembeni akicheza Azip na Emerson/ Alonso,, Hebu nambie yupo hata uzoefu hapo? au yupi ni beki dhaifu??
katikati hapa ndo pamenoga zaid,, kuna Kante nadhani hahitaji maneno mengi kumuelezea, yupo Joginho, Mateo, Barkery, Bakayoko na Monson mont.. hapa kwenye first eleven ni Kante, Joginho na barker/ Mateo sijui unataka combination gana zaid ya hii... wakati Kante anasaidia defence, Joginho anatulipa katikati huku Barkery akianzisha mashambulizi...
Hapa mbele yupo William, Pedro, tarented Culum Hudson Odoi (CHO), Roben loftus Cheek, yupo Pulisic ( Captain America) yupo Batman ( New Drogba ) na Olivier Giroud.. Sasa hebu nasiidie mwenyewe kuchagua mwenyewe watatu wa kuanza hapa... Ila kumbuka Captain America wanaweza cheza kama central striker..
Nimesahau kipa eeeh,,, hapa yupo Spain number one,, Keppa arrinini sijui,,, huyu mtoto anaenda kuchukua namba vya De gea pale Spain believe me...
Lampard hana uzoefu?? amecheza final ya play off unataka... hebu nikumbushe wakati zedane anaichukua Madrid alitokea timu gani iliyokua inashiliki LA liga au alitokea EPL ??
Chelsea isibezwe, bado ni timu bora EPL
alaaa!!!Man u kashinda 4-0... unajingine?
SawaEPL ni English premier league wakati EFL ni English fantasy league
Nilisema kila nikichungulia naziona 3+ ,kila nikichungulia labda kuna 2-0 roho inagomaKila nikiichungulia hii mech naziona 3+ ,najitahid labda Chelsea atapigwa 2-0 , roho inaniambia kuna 3+
Ngoja tusubiri
Umeamin maneno yanguMbona hata wewe unapiga ramli. Zungumza baada ya timu kukutana.