Timu kiba wachoma t-shirts za wcb wasafi

isho_boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
2,145
Reaction score
1,892
Timu kiba wanaonekana kuwa na ghazabu sana na level ya domo hii imejizihirisha jana baada ya mashabiki wanaoaminika kabisa ni mashabiki wa king kiba wakichoma izo T-shirt daah hizi timu zinaelekea pabaya sasa yetu macho
 

Attachments

  • Screenshot_2016-10-31-21-10-21.png
    94.7 KB · Views: 100
Hizi team.zitaisha ile siku kiba anakumbatiana na diamond ama kuimba nyimbo moja ya pamoja ama kupanda jukwaani kweemye show
 
inanikumbusha harakati za kihistoria zilizo pata kuwepo
luddism an Chartism

watu badala ya kugombana na mnyonyaji wanaenda kuharibu mashine na viwanda vya hao wanyonyaji
vivo hivyo kwa teamkiba badala ya kumshauri alikiba(anaye jinadi ni kipenzi cha watu) ili atoe nyimbo zitakazomfanya amfunike mwenzake

WAO WANAENDA KUNUNUA TSHETI NA KISHA KUZICHOMA KWANZA WAMEINGIA GHARAMA N.K
 
ndio kitu pekee kinachowapa faraja team kiba
 
Sasa nimejua akili za hao teamkibakuli wengi wao wana mtindio wa ubongo aya mambo yasifumbiwe macho watu wanaweza chomeana mpaka nyumba yakiendelea japokua hatuombi yafike huko
Wananunua halafu wanachoma sio vibaya mradi hela inaingia Wcb nilijua walipewa bure naiona tanzania yenye viwanda kwa mbaali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa ukute ndo walio muua mashall mburulaz kabisa akiri zenye utoko ushauri wa bure diamond ukifanya shoo tz usikubali kuruhusu mashabiki stejin watu wenye roho za paka kama hao wasije panda na upupu vijana mnatia huruma sanaa fanyeni kazi hao mnaoshinda mna wapambanisha wao account zao zina tuna kila siku nyie hata bando mnakopa mnaishi kwa kuunga unga Mungu okoa kizazi hiki jamani tukalelee wapi watoto wetu so sad! Mmekula maharagwe ya wapi!!?
 

Mkuu umenikumbusha mbali sana.
 
Siku nikijikuta nipo serious na vitu vya kipapasi kama hivi,nitajipiga makofi ya kutosha.
Unakutana na linjemba lina sharubu mpaka kwenye kalio linatokwa povu kwa ajili ya upuuzi ambao hauna hata maslai.
Yaani ujinga mtupu…
 
Unaweza ukawalaumu bure hao jamaa....ebu fafanua vzuri tatizo lilikuwa nini mpaka wakachoma hizo nguo?!
 
Wachome t.shirt ili iweje? Na wanaipata wapi hiyo T-shirt?

Wekeni video
 
Teh kwa hiyo unaamini vipi kama ni team kiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…